Aina za Mayai

Aina za Mayai

A2Zlove

Member
Joined
Jan 17, 2016
Posts
11
Reaction score
3
Wana JF, napenda leo tuzungumzie aina za Mayai na upishi wake.

Nimeamua kuzungumzia mayai kutokana na wengi wetu kutojua aina hizi za mayai na kujikuta pindi tukitoka na kwenda mojawapo ya baadhi ya hotel zenye hadhi ya nyota tano kujikuta tukiagiza mojawapo ya aina mbili ya mayai kama vile mayai ya kukaanga ama kuchemsha.

Leo tutaona baadhi ya aina nyingine nyingi za mayai na upishi wake.
1. Omelette: Aina hii ya mayai imegawanyika katika makundi mawili moja ikiwa ni plain omelette na nyingine ikijulikana kama Spanish omelette.
2. Fried Egg: Aina hii imegawanyika kama ifuatavyo: Sunny side up, Over easy na Over hard.
3. Scramble Egg: Aina hii pia ya mayai imegawanyika kama ifuatavyo: Creamy & Dry
4. Poached Egg:

Leo naomba niishie hapa
 
Ingekuwa vyema kama ungeeleza ni vipi hayo mayai yanapikwa umetuacha hewani mnoo
 
Back
Top Bottom