Aina za mifuzi

Aina za mifuzi

fimboyaasali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
8,617
Reaction score
8,244
Ni nini kinasababisha aina mbalimbali za mifuzi?Ipo inayonuka na isiyonuka,ipo yenye milio na ya kimyakimya
 
Mifuzi ndio nini? Mavuzi au ushuzi? Kama Mavuzi labda jasho na kama ushuzi basi atakuwa anakula vyakula vya kihindi ndio maana unatema.
 
Vyakula vigumu kama makande,mahindi,pia maharage lazima kinukeee hata chipsi nazo
 
Back
Top Bottom