Aina za miradi ya ujasiriamali

Joined
Jun 4, 2016
Posts
35
Reaction score
9
Habar za Leo banduku?ni matumaini yangu mko salama kabsa,Mimi ni mwenyekiti wa kikundi flani cha ujasiliamali,tumepata mfadhili anataka kutufadhili kikundi ametuambia tuandike MRADI,sasa hatujapata mradi wa kuandika so bandugu nisaidieni hata kwa kifupi tu aina za miradi.Niko mtwara.
 
Habar za Leo banduku-mwisho utatutukana wewe!
 
Miradi iko mingi sana,
Mfano
Andika juu ya mradi wa Kilimo cha mboga mboga Mtwara ni shida upatikanaji wa mboga
Mradi juu ya kulima matunda.
Mradi wa kufuga kuku wa kienyeji.


Mradi wa kuosha magari
Kiufupi fikirieni ni nini ambacho hicho kikundi chenu mnanuwia kufanya? Je kina malengo gani? Na je ni kweli mnania.

Kabla hujaanzisha mradi jiulize maswali haya.
Je mradi wangu ni nini?
Je mradi huu unalenga kutatua kero ipi kwa jamii?
Je ni malengo gani ya huu mradi?
Je soko/ wahitaji wa huu mradi Wapo wapi?
Je ni changamoto zipi zinaweza jitokeza?
Je ikitokea hasara ntaikubali.?

Ukiona umeweza kuyajibu basis kaa andika mradi , taratibu utafanikiwa.
 
Chunguza kwa kina ni changamoto zipi zilizopo hapo mlipo ndo utaweza kuibua mradi. Pili kama mtahitaji kuandikiwa mradi tuwasiliane hili niwasaidie kwa gharama nafuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…