nyumba nampoka
Member
- Jun 4, 2016
- 35
- 9
Habar za Leo banduku?ni matumaini yangu mko salama kabsa,Mimi ni mwenyekiti wa kikundi flani cha ujasiliamali,tumepata mfadhili anataka kutufadhili kikundi ametuambia tuandike MRADI,sasa hatujapata mradi wa kuandika so bandugu nisaidieni hata kwa kifupi tu aina za miradi.Niko mtwara.