Nipe yangu fasta hapoHahaha chukua tabia yako hapo
Huna hata sharubu? Mustachi?
Au kilamba mchuzi?
Haaaaa.nilisahau.Sina Mkuu kwani Mimi siku zote Sheria ya Mnyoo wangu ni Upara kuanzia Kichwani hadi Ndevuni bila kusahau na kule ' Kunako ' maeneo muhimu ya Kibaiolojia kwa Mwanadamu.
kaweke miguu ya jongooNa sisi ambao hatuna niaje nahisi tutakuwa wakalimu na watu wenye busara
Wewe huna au hupendi kufuga?Tusio na Ndevu kabisa au tusiopenda Kufuga Ndevu unaweza ukatuelezeaje Mkuu?
Nimeipenda chupi yakoJaman vituko gan tenaa
Kumbe ni mlozi!!Nimerogwaa na mshana jr
Haaaaa.nilisahau.
Ukitaka kulala niambie nikuvueNjoo univue
Kwamba hufugi nywele aina yoyote. Unaacha kope na nyusi tu. Na vinyweleo.Hapa una maana gani labda Mkuu? Umeniacha kiduchu / kidogo.
Ushanididis.haTena ikifika miguuni iache niitupe na mguu iangukie kwenye mabeg ya nguo
Halafu ni pastor [emoji2] [emoji2]Ndiooo