mimi mkali
JF-Expert Member
- Dec 14, 2012
- 1,794
- 1,570
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe jiandae kuvamiwa na mapepo..!Na sisi ambao hatuna niaje nahisi tutakuwa wakalimu na watu wenye busara
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Demiss kuja huku unambie huyu ana tabia gani?
Sasa nimeamini kuwa lisemwalo lipo, kama halipo lajaDaaah kisa nilikuja na ndevu zipo ovyo ovyo ndio umeamua kuja na Uzi wa ndevu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiv wewe ndevu zako zikoje vile?[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hii namba 4 ni ukweli mtupu1.Ndevu mzuzu
![]()
Ndevu hizi wanazo wanaume wengi wanaoishi uswahilini.
Mara nyingi wenye ndevu hizi hupendelea sana kwenda kwenye "MINUSO" wanakula sana ubwabwa na pia kwenye vijiwe vya kahawa huwakosi.
2.Ndevu mchongoma
![]()
Wenye ndevu hizi ni wale walioishi enzi za ukoloni.
Ni wakali san kwenye familia zao ,hasa kwa mabinti na wanapatikana sana maeneo ya ushuani.
Wanapenda kufuga mbwa na getini wanaandika "Kuna mbwa wakali"(Huyu baba angu kabisa)
3.Ndevu mviringo
![]()
Kwa jina lingine zinajulikana kam "O".
Wenye ndevu hizo wana bahat sana ya kupendw na "Mademu"
Wengi wao wanapatikana Dar Na kilimanjaro.
4.Ndevu kauzu
![]()
Wenye ndevu hizi wanajifanya kila kitu wanakijua .
Wanapenda sana mademu.
Na ni rahisi sana kufumaniwa .
Watu wa simiyu wanasifika san kwa kuzifuga.(Hawa wapo wengi jf wakiongozwa na Kaka angu Gudume)
Demiss(Cha mdeko)