Aina za playstations

Vip gharama zake huwa zina range bei gan console+games?
Ps4 Flat dukani 500k linakuwa na pads mbili na games kadhaa inategemea na muuzaji uliyenunua.

Ps4 Slim dukani 680k + pads mbili na games ngapi inategemea na muuzaji,

Ps4 pro bei kuanzia 850k + pads mbili na games kadhaa

Pads za Ps4 original unapata kuanzia bei ya 100k kwa pad moja ila pads za kawaida tu unapata kuanzia 50k kwa pad moja .
 
Ahsante bro ngoja nijipange nidake hyo ps4 slim🙏
 
Mkuu Off-Topic kidogo, Ni website zipi ziko njema kwa ku download magemu ya PC, mfano Farcry 6 na kadhalika yenye GB za kutosha, ukiachia Torrents.
 
Mkuu Off-Topic kidogo, Ni website zipi ziko njema kwa ku download magemu ya PC, mfano Farcry 6 na kadhalika yenye GB za kutosha, ukiachia Torrents.
Kama mdau alivyo jibu fitgirl wanaweka direct link, sema kama una hela nunua/Tafuta real debrid account, utadownload kitu chochote kilicho kwenye internet direct na kwa speed kubwa.
 
Chukua Ps4 Slim Version ya 9.00. Ni mashine ya kazi haina changamoto za mara kwa mara. Ps4 Fat zinazingua sana hasa ukichezesha mda mrefu mfululizo bila kuzipumzisha.

Kwa huduma za Kuingiza Games,

Tuwasiliane.
 
P1 bruh💪
 
Kama mdau alivyo jibu fitgirl wanaweka direct link, sema kama una hela nunua/Tafuta real debrid account, utadownload kitu chochote kilicho kwenye internet direct na kwa speed kubwa.
Mkuu, real debrid ndio kitu gani. Tufafanulie kidogo.
 
Mkuu, real debrid ndio kitu gani. Tufafanulie kidogo.
Unakumbuka zamani kulikua na premium link generator na torrent to IDm ambazo unaweka link ya torrent ina convert kuwa ya IDm?

Debrid zilianzia huko, ila sababu watu wengi wanatumia zikawa zina cache hayo mafile, na kutengeneza server kubwa yenye kila file.

Ukiwa na debrid ukienda site ya torrent automatic inakua link direct ya kudownload file kawaida direct, kwa speed kubwa, sometime unakuta torrent haina hata seeder ila kwenye debrid lipo file una download.

Debrid pia inasaidia vifaa visivyosupport torrent kama smart tv kuvipa uwezo wa kustream movies na series.

Kuna providers wengi wa debrid ila maarufu ni kama Real debrid.
 
Mkuu naomba kujua kuhusu PS5 , nataka kununua ila sijajua ninunue lipi maana nataka kwaajili ya nyumbani tu sio kwa biashara, ufafanuzi wako please
 
Mkuu naomba kujua kuhusu PS5 , nataka kununua ila sijajua ninunue lipi maana nataka kwaajili ya nyumbani tu sio kwa biashara, ufafanuzi wako please
Kama uwezo unao nunua ps 5 slim disk version
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…