AINA ZA ULEMAVU

AINA ZA ULEMAVU

The redemeer

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2025
Posts
1,497
Reaction score
2,681
Kwanza ulemavu ni nini ni ile hali ya ugonjwa au kupatwa vurugu na mchafuko au hali ya kua na hitilafu ya kudumu na upungufu wa kitu. Kuna aina nyingi za ulemavu kama ifuatayo;
•Ulemavu wa Viuongo mfano kiwete, ukoma, miguu kama matege, kiguru
•Ulemavu wa Akili mfano kichaa, usonji/autism
•Ulemavu wa Masikio mfano kiziwi
•Ulemavu wa Ngozi mfano albino, vitligo
•Ulemavu wa Macho mfano kipofu, kengeza, chongo
•Ulemavu wa Damu mfano seli mundu/sickle cell
•Ulemavu wa Mdomo mfano bubu, kigugumizi
•Ulemavu wa Kiimo mfano ufupi/mbilikimo
•Ulemavu wa Mwili mfano kupooza, kifafa, nundu mgongoni/kibiyongo
•Ulemavu wa Meno mfano kibogoyo, mwanya, kupandana meno
•Ulemavu wa Sura mfano down syndrome, mwenye sura mbaya/matindija
•Ulemavu wa Ulimi mfano kithembe
 
Huwaga najiuliza sana ile wizara ya ulemavu inafanya kazi gani,

  • mpaka leo kuna shule chache sana za walemavu na zinafanya vibaya sana
  • kwenye ajira sioni walemavu wakipewa vipaumbele japo nafasi 4 katika kila 100
  • kuna wawakilishi wachache sana wenye ulemavu bungeni viti maalum
  • Makazini, Vyuoni, n.k. zinatolewa zawadi za kuwezesha wanawake kwanini sio walemavu
 
Kwanza ulemavu ni nini ni ile hali ya ugonjwa au kupatwa vurugu na mchafuko au hali ya kua na hitilafu ya kudumu na upungufu wa kitu. Kuna aina nyingi za ulemavu kama ifuatayo;
•Ulemavu wa Viuongo mfano kiwete, ukoma, miguu kama matege, kiguru
•Ulemavu wa Akili mfano kichaa, usonji/autism
•Ulemavu wa Masikio mfano kiziwi
•Ulemavu wa Ngozi mfano albino, vitligo
•Ulemavu wa Macho mfano kipofu, kengeza, chongo
•Ulemavu wa Damu mfano seli mundu/sickle cell
•Ulemavu wa Mdomo mfano bubu, kigugumizi
•Ulemavu wa Kiimo mfano ufupi/mbilikimo
•Ulemavu wa Mwili mfano kupooza, kifafa, nundu mgongoni/kibiyongo
•Ulemavu wa Meno mfano kibogoyo, mwanya, kupandana meno
•Ulemavu wa Sura mfano down syndrome, mwenye sura mbaya/matindija
•Ulemavu wa Ulimi mfano kithembe
Ulemavu wa kingono (Ulemavu wa akili) mfano kupenda kufanya mapenzi na vitoto au na watu wa jinsia moja, kufanya mapenzi na maiti, na wanyama.
 
Back
Top Bottom