Aina za utani ambao ukikuta mwanaume anamtania mwanaume mwezie ni ngumu

Aina za utani ambao ukikuta mwanaume anamtania mwanaume mwezie ni ngumu

Hongkong

Member
Joined
Dec 27, 2022
Posts
54
Reaction score
152
Wanawae wanautani sana mfano

Mtu na wifi yake unakuta wanaitana mume wangu au mke wangu

Ila mwanaume kukuta wanataniana mke wangu au mume wangu na shemeji yake ngumu sana

Wanawake anaweza mwambia mwenzie nakupenda au akamuita mwezie mpenzi wangu

Mwanaume ukithubutu mwambia ivyo mwanaume mwezio unaweza ata ukapigwa
 
Wewe unaonekana mswahili wewe aki 🤣🤣🤣
Hapana mkuu....😑
Mimi ni shamba ninae tokea kijiji cha mpigamiti, kata ya ibologelo kwenye tarafa ya mchambawima....😔
Huku kwetu matumizi ya sukari ni anasa, mkaa tunauza huko mjini alafu sisi tunapikia kuni...😶
 
Ahahaah wewe mswahili tena wa mazense
 
Back
Top Bottom