Kristonsia Nkya
JF-Expert Member
- Jun 24, 2013
- 302
- 292
*AINA ZA VICHAA:*
*1. Kichaa cha Safari lager*
Kung'ata meza na vifuniko vya chupa na Kubinua meza kumwaga vinywaji.
*2. Kichaa cha Castle Light*
Kuparamia kila mdada mweupe na kumtaka Mahusiano. Kwa wadada kukodolea wanaume mimacho weeee bila full stop
*3. Kichaa cha Windhoek*
Kusahau njia na kupitiliza home hadi machakani.
*4. Kichaa cha Serengeti*
Kuzubaa zubaa hata ukiulizwa jambo unatamka niongezee nyingine.
*5. Kichaa cha Tusker*
Unakubali kila mwito hata kama ni kwenda machinjioni unaenda tu.
*6. Kichaa cha Kilimanjaro*
Usingizi na kupayukapayuka tu na kula misosi bila kulipa ukidaiwa unatukana tuuu.
*7. Kichaa cha vinywaji vikali..whisky*
Kutoroka na wake za watu au waume za watu na kulala nje ukipigiwa simu unafoka hadi povu linadondoka.
*8. Kichaa cha ndovu lager*
Kulialia hovyo hovyo ukiulizwa unajibu umenyimwa chakula na wife
*9. Kichaa cha Castle lager*
Kunywa bia moja tu ya kujinunulia halafu unakaa masaa 10 baa ukisubiri bia za offer
Chanzo: *Utafiti*