Aina za vichaa

Aina za vichaa

Kristonsia Nkya

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2013
Posts
302
Reaction score
292
*AINA ZA VICHAA:*

*1. Kichaa cha Safari lager*

Kung'ata meza na vifuniko vya chupa na Kubinua meza kumwaga vinywaji.

*2. Kichaa cha Castle Light*

Kuparamia kila mdada mweupe na kumtaka Mahusiano. Kwa wadada kukodolea wanaume mimacho weeee bila full stop

*3. Kichaa cha Windhoek*

Kusahau njia na kupitiliza home hadi machakani.

*4. Kichaa cha Serengeti*

Kuzubaa zubaa hata ukiulizwa jambo unatamka niongezee nyingine.

*5. Kichaa cha Tusker*

Unakubali kila mwito hata kama ni kwenda machinjioni unaenda tu.

*6. Kichaa cha Kilimanjaro*

Usingizi na kupayukapayuka tu na kula misosi bila kulipa ukidaiwa unatukana tuuu.

*7. Kichaa cha vinywaji vikali..whisky*

Kutoroka na wake za watu au waume za watu na kulala nje ukipigiwa simu unafoka hadi povu linadondoka.

*8. Kichaa cha ndovu lager*

Kulialia hovyo hovyo ukiulizwa unajibu umenyimwa chakula na wife

*9. Kichaa cha Castle lager*

Kunywa bia moja tu ya kujinunulia halafu unakaa masaa 10 baa ukisubiri bia za offer

Chanzo: *Utafiti*
 
mmh
finnadie.png
 
cha LEMA KULE arusha kinaangukia wapi kwa mfano huo
 
Mkuu sisi ambao hatutumii kabisa aina ya kinywa chochote unatusaidiaje kwenye utafiti wako
 
Vipi hizi..
Guiness
The Kick
Plsner
Redds
Balimi
Miller
Heinken...
 
Back
Top Bottom