Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
1. Team picha
Hawa ni matomaso huomba ushahidi wa picha hata kwa Jambo lisilo wezekana
2.Wazee wa mrejesho
Hawa huomba mrejesho hasa pale wanapojua utafeli au kuangukia pua kwenye Jambo lako.
3.Basi sawa
Hawa ni wapuuzi utasikia basi sawa Sasa cjui wanamaanisha nini.hata ukiwaambia kesho nitajinyonga watasema basi sawa.
4. Serious members
Hawa watachangia kwenye uzi wako seriously hawa Ni mature men n women.
Ongezea wengine