Aina za wana jf katika post za wenzao

Aina za wana jf katika post za wenzao

1. Team picha

Hawa ni matomaso huomba ushahidi wa picha hata kwa Jambo lisilo wezekana

2.Wazee wa mrejesho

Hawa huomba mrejesho hasa pale wanapojua utafeli au kuangukia pua kwenye Jambo lako.

3.Basi sawa

Hawa ni wapuuzi utasikia basi sawa Sasa cjui wanamaanisha nini.hata ukiwaambia kesho nitajinyonga watasema basi sawa.

4. Serious members

Hawa watachangia kwenye uzi wako seriously hawa Ni mature men n women.

Ongezea wengine
Ungetoa vi picha kwa kila kundi yaani hii movie ingenoga ka ya van damme

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Team picha

Hawa ni matomaso huomba ushahidi wa picha hata kwa Jambo lisilo wezekana

2.Wazee wa mrejesho

Hawa huomba mrejesho hasa pale wanapojua utafeli au kuangukia pua kwenye Jambo lako.

3.Basi sawa

Hawa ni wapuuzi utasikia basi sawa Sasa cjui wanamaanisha nini.hata ukiwaambia kesho nitajinyonga watasema basi sawa.

4. Serious members

Hawa watachangia kwenye uzi wako seriously hawa Ni mature men n women.

Ongezea wengine
Vipi wale wanaowahi je??
Sie tunapitia profile yako, kuumbua uongo uliowah kuusema??
 
Hao Happ juu ndio mapopoma sasa anaowasema gentamycine
 
1. Team picha

Hawa ni matomaso huomba ushahidi wa picha hata kwa Jambo lisilo wezekana

2.Wazee wa mrejesho

Hawa huomba mrejesho hasa pale wanapojua utafeli au kuangukia pua kwenye Jambo lako.

3.Basi sawa

Hawa ni wapuuzi utasikia basi sawa Sasa cjui wanamaanisha nini.hata ukiwaambia kesho nitajinyonga watasema basi sawa.

4. Serious members

Hawa watachangia kwenye uzi wako seriously hawa Ni mature men n women.

Ongezea wengine
Mbona sisi wazee wa ukweli na fact hujatuweka hapo?

ᴱᵛᵉʳʸᵇᵒᵈʸ ˡᵒᵛᵉˢ ᵃ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ [emoji377]
 
Kama watu walioko duniani na tabia zao na hapa wako hivyo hivyo ni ngumu kuwataja wote ila kuna angle watajitokeza subiri picha lake lianze ww andika tu kalama na daftari usisahau.

Back
Top Bottom