SOFTWARE Aina za website tunazotengeneza na malipo yake.

calvin priva

Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
9
Reaction score
3
1.SIMPLE WEBSITE
Hii simple website hatutengenezi kwa gharama kubwa kwasababu inamuonekano mzuri lakini haina vitu vingi ndani yake.

Itakuwa hivi ikishakamilika,
-Domain name yako.. mfano- www.yasin.com
-Hosting.. Tutaitangaza website yako na watembeleaji wataweza kuisearch kupitia google, yahoo au bing na wataipata.
-Search box.. Mtembeleaji ataweza kusearch kitu kilichopo ndani ya website yako
-Subsrcibe box.. Mtembeleaji ataweza kusubscribe kwenye website yako
-Adsense.. Sehemu ya kuweka matangazo ya google adsense

Itakuwa na ukurasa hizi,
-Home.. Sehemu vitakapokaa vitu utakavyopost kwenye website yako
-Services.. Sehemu ya kuweka huduma mnazotoa
-About.. Ukurasa unaoelezea website yenu inahusu nini
-Contact.. Ukarasa utakaomruhusu mtembeleaji wa website yako kuwasiliana na wewe

Ukurasa nyingine tutakuwekea utakavyotaka ila haitakuwa na hivi vitu,

-Mailing list.. Itakuwezesha kukusanya email za watembeleaji wa website yako
-Register/Login.. Itamuwezesha mtu kufungua account ndio ajiunge kwenye website yako
-Members only page.. Mtembeleaji wa website atafungua account na utamtoza fedha kiasi utakachotaka wewe kutokana na biashara yako ndio awe approved na website yako.
-Forum.. Sehemu ambayo watembeleaji wako wataweza kuwasiliana (chatting)
-Payments.. Mtembeleaji ataweza kufanya malipo akiwa ndani ya website yako kupitia paypal, kadi ya benki au offline payments.

Gharama ya kutengenezewa hii SIMPLE WEBSITE ni TZS.100,000/=

2.HTML CODE WEBSITE
Hii ni website inayotengenezwa kwa kutumia lugha maalumu ya computer (code) hii ni gharama kubwa kuitengeneza kwasababu ni professional website na inavitu vingi.

Itakuwa hivi ikishakamilika,
-Domain name yako.. mfano- www.yasin.com
-Hosting.. Tutaitangaza website yako na watembeleaji wataweza kuisearch kupitia google, yahoo au bing na wataipata.
-Search box.. Mtembeleaji ataweza kusearch kitu kilichopo ndani ya website yako
-Subsrcibe box.. Mtembeleaji ataweza kusubscribe kwenye website yako
-Adsense.. Sehemu ya kuweka matangazo ya google adsense
-Mailing list.. Itakuwezesha kukusanya email za watembeleaji wa website yako
-Register/Login.. Itamuwezesha mtu kufungua account ndio ajiunge kwenye website yako
-Members only page.. Mtembeleaji wa website atafungua account na utamtoza fedha kiasi utakachotaka wewe kutokana na biashara yako ndio awe approved na website yako.
-Payments.. Mtembeleaji ataweza kufanya malipo akiwa ndani ya website yako kupitia paypal, kadi ya benki au offline payments.
-Contact form.. Fomu hii itamuwezesha mtembeleaji kuwasiliana na wewe na kukusaidia wewe kupata email yake, namba yake ya simu pamoja na jina lake.
-Slideshow.. Picha za kutembea zinazohusu website yako
-Video.. Sehemu ya kuweka video inayozungumzia website yako

Itakuwa na ukurasa hizi,
-Home.. Sehemu vitakapokaa vitu utakavyopost kwenye website yako
-Service.. Sehemu ya kuweka huduma mnazotoa
-Member.. Ukurasa maalumu wa watembeleaji waliofungua account kwenye website yako
-Forum.. Sehemu ambayo watembeleaji wako wataweza kuwasiliana (chatting)
-About.. Ukurasa unaoelezea website yenu inahusu nini
-Contact.. Ukarasa utakaomruhusu mtembeleaji wa website yako kuwasiliana na wewe

Kama kuna vingine vya ziada unaetengenezewa utahitaji, haina shida utatuambia tunaweka.
Gharama ya kutengeneza website hii pia inatofautiana lakini gharama ya chini ni TZS.600,000/= na gharama ya juu kabisa ni TZS.1,200,000/=

PIGA SIMU - 0742466656
WHATSAPP - 0716983492
TUMA UJUMBE - 0688072587

KARIBU, ASANTE.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]! Sitaki kukuharibia biashara mkuu! Ila unaibia sana watu! Website ya zaidi ya laki 2 inakuwa na malipo ya mpesa , tigo pesa nk. Gharama za hosting na domain ndo tuseme laki tuu. Mengine unapiga sana! Ukibisha nipe laki nikutengenezee website ya laki 6 ndani ya nusu saa
 
anaua bendi kabisa
 
Wewe utakuwa haujui kutengeneza website,

Website iliyotulia nusu saa?

Usiudanganye Ummah

Blogger & Trainer
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]! Sitaki kukuharibia biashara mkuu! Ila unaibia sana watu! Website ya zaidi ya laki 2 inakuwa na malipo ya mpesa , tigo pesa nk. Gharama za hosting na domain ndo tuseme laki tuu. Mengine unapiga sana! Ukibisha nipe laki nikutengenezee website ya laki 6 ndani ya nusu saa
I bet wewe hujafanya professional web development.
Tena hiyo 1,200,000/- ni bei rahisi sana kama gharama za hosting na domain name ni zipo hapo hapo ndani ya hiyo 1.2M.
 
nitakutafuta mkuu, je huwezi kutengeneza simple software??
 
Nadhani umekariri code ndo maana unahisi haiwezekani
Wewe website sio mchezo, labda wewe unafikiria website jina ambayo hata elfu 50 mtu anaweza kutengeneza.

Sio website iliyotimia....

Hivi website kama www.necta.go.tz unataka uniambie utategeneza kwa masaa matatu wachilia mbali hiyo nusu saa?

Blogger & Trainer
 
I bet wewe hujafanya professional web development.
Tena hiyo 1,200,000/- ni bei rahisi sana kama gharama za hosting na domain name ni zipo hapo hapo ndani ya hiyo 1.2M.

Huyo Jamaa sio web professional kabisa kama ulivyosema ...labda kama anadownload free template na anaedit contents.

Website ambayo ipo professional huwezi tengeneneza kwa hizo bei za blog.
 
Website mpaka ikamilike inahitaji muda jamani hata kama umedownload theme za wordpress uanze kuziedit mpaka ikamilike!! kitu kizuri kinahita muda wakutosha kuandaa
 
I bet wewe hujafanya professional web development.
Tena hiyo 1,200,000/- ni bei rahisi sana kama gharama za hosting na domain name ni zipo hapo hapo ndani ya hiyo 1.2M.

Kuna website za mpaka milioni 50! Tanzania mnaongelea kina millardayo? [emoji23][emoji23][emoji23]! Wordpress au Joomla ambazo development is less tha 30 min! Content anaweka mteja! It’s 2018 nobody uses php
 
Mkuu coding ya ndani ya nusu saa hakuna...mpe support jamaa acha kujifanya programmer wakati hamna kitu

Sent using Jamii Forums mobile app

Haufanyi coding yeyote kwa hizo njia nlizokueleza hapo! Hata ww unaweza kutengeneza website na blog na apps ujue english tuu na kutumia Computer mouse! Kwenye Software Engineering hii technique inaitwa (RAD) or (RSD) Rapid App or Software Development... watanzania wengi hawajui chochote especially ITs ndo maana wanaliwa vizurii yote hii ni because 99% mko poorly educated. Mtu alesoma nusu ni mbishi na atabaki kusema Coding, coding coding, coding,coding. Kalipie hosting zipo hadi package ya elf 50 kwa mwaka na kuna kampuni kubwa wanatoa free hosting mwaka mmoja ulipie domain alaf tuna bind in 5 minutes. 15 minutes tuna upload Wordpress au wanakuwekea mwenyewe then utachagua theme ya website Kwa Wordpress ziko zaidi ya 500 bure! Then una install plugins alaf kazi ku drag drop pages baasss! In 30 min tunaweza kuwa na JamiiForums yetu ila tuwe na kama elf 50. Ukitaka tuendelee nitafte unilipe laki 6
 
Unataka ufanyie majaribio ya huu ujinga kwangu sio...ingekuwa rahisi hivyo hata hayo makampuni makubwa huko ulaya yasingekuwa yanalipa watu wawatengenezee site... No easy...ukitaka website nzuri lazima upige code

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka ufanyie majaribio ya huu ujinga kwangu sio...ingekuwa rahisi hivyo hata hayo makampuni makubwa huko ulaya yasingekuwa yanalipa watu wawatengenezee site... No easy...ukitaka website nzuri lazima upige code

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndo hiyo php? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]! Facebook walikuwa wanafanya php 2008! Unajua maana ya coding ww?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nambie hiyo website yako tuione uliyo develope from header mpaka footer usilete uzuzu wako hapa
 
We toa support tu mkuu website nzuri ya nusu saa hakuna...uwe Tz uwe Ulaya...lazima uumize kichwa utumie language yoyote ile...laki sita sina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We toa support tu mkuu website nzuri ya nusu saa hakuna...uwe Tz uwe Ulaya...lazima uumize kichwa utumie language yoyote ile...laki sita sina

Sent using Jamii Forums mobile app

Dadangu hajui kutumia pc vizuri ana develop website kwakutumia “WIX” acheni kuibia watu. Kuna website mpaka za dola elf 50 sijakataa uchafu mnaotengeneza bongo ni wa amateur sana. Siwez kujibishana na mtu ambaye hajui 2018 watu waliosomea hawadevelop tena websites kwasabbu kuna tools za kutengeneza website sokoni zenye kusave time na kuna million free ideas tayari kwenye market za hizo tools nikama kuinstall apps kwenye simu unachagua unataka app yakuchat una install kwenye website! Na unavyoongea hapa nauhakika hujui hata maana ya php
 
Back
Top Bottom