No SQL
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 7,063
- 12,563
Sawa mkuu sikutegemea hii point itoke kwako mtu uliejinadi una Masters...website builders? Limited functionality... Limited control...n.k...anyway tupe pros and cons za website builders hapa alafu watu walinganisheDadangu hajui kutumia pc vizuri ana develop website kwakutumia “WIX” acheni kuibia watu. Kuna website mpaka za dola elf 50 sijakataa uchafu mnaotengeneza bongo ni wa amateur sana. Siwez kujibishana na mtu ambaye hajui 2018 watu waliosomea hawadevelop tena websites kwasabbu kuna tools za kutengeneza website sokoni zenye kusave time na kuna million free ideas tayari kwenye market za hizo tools nikama kuinstall apps kwenye simu unachagua unataka app yakuchat una install kwenye website! Na unavyoongea hapa nauhakika hujui hata maana ya php
Sent using Jamii Forums mobile app