Aingiaye Pass kwa Kugonga hodi

Aingiaye Pass kwa Kugonga hodi

Mlaleo

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
14,809
Reaction score
11,825
Asalaam Aleykum.... Bwana Asifiwe ..Hodi wa JF naombeni ukaribisho wenu tuishi kwa amani na Upendo
Nimeingia kwa pasi nikigonga mioyo yenu ifunguke nipate ukaribisho wenu mwema
 
Thanks But Nahisi njaa hivi kuna mgahawa wowote humu mnisindikize kupata kituliza koo
 
karibu sana, sijuwi unapendelea kinywaji gani tukuhudumie?
 
Back
Top Bottom