Air Cargo China to Tanzania

Air Cargo China to Tanzania

itakiamo

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
893
Reaction score
1,739
📦✈️Habari za kazi boss

Kampuni ya PM EXPRESS CARGO tunapenda kukumbusha kuwa tunaendelea na upokeaji wa mizigo ya kawaida katika ofisi zetu China Guangzhou ratiba ya week hii ndege itaondoka China🇨🇳 kuja Tanzania 🇹🇿 alhamisi tarehe 27/04 mwisho wa kupokea mzigo ni Jumanne tarehe 25/04.

Bei zetu ni rafiki na huduma zetu ni bora mpatie supplier wako address yetu👇

TUPIGIE/WHATSAPP:+255655877507

IMG-20230417-WA0006.jpg
 
Je nyie ni mawakala wa Air Tanzania Cargo au mnajitegemea?

Je kama hamna mahusiano na Air Tanzania Cargo,....kwa nini msikodishe ile ndege ya mizigo ambayo tangu ifike inaota tu jua JNIA? 🤔
 
Back
Top Bottom