Kampuni ya PM EXPRESS CARGO tunapenda kukumbusha kuwa tunaendelea na upokeaji wa mizigo ya kawaida katika ofisi zetu China Guangzhou ratiba ya week hii ndege itaondoka China🇨🇳 kuja Tanzania 🇹🇿 alhamisi tarehe 27/04 mwisho wa kupokea mzigo ni Jumanne tarehe 25/04.
Bei zetu ni rafiki na huduma zetu ni bora mpatie supplier wako address yetu👇