Air Defenses za Marekani zimeshindwa kulilinda anga la Ukraine dhidi ya makombora ya Urusi!!

Air Defenses za Marekani zimeshindwa kulilinda anga la Ukraine dhidi ya makombora ya Urusi!!

Halafu hawajui kuna battle na kuna war......unaweza ukashinda battle ila war bado hujashinda........
Wanafosi .

Superpowers au Millitary Mights ni US , Russia, EuroNATO na at least CHINA.

Ukraine kumlinganisha na Russia ni ushabiki maandazi wa vijiweni.

Tujiulize kwa nini zele anaombaomba misaada tangu March na kwa nini NATO nzima inahaha kila mwezi kupeleka misaada Ukrainia???.. Why hawapeleki msaada kwa Israel au Saudia dhidi ya Palestine a Iran consecutively?...

Siyo kila mpinga Ukraine humu ni Pro Russia ama Pro East bali Wengine hatuelewi mtu anapohaha kulinganisha Millitary strength ya Russia na Ukraine.
 
Back
Top Bottom