Air France kuanza safari za BUKOBA (BKZ) - PARIS (CDG)

Kufuatia ongezeko la abiria toka mkoa wa Kagera kwenda nchi nyingi za Ulaya. Shirika la Ndege la Air France linatarajia kuanza safari zake kutokea kiwanja cha ndge cha BUKOBA (BKZ) - Paris Charles de Gaulle (CDG) airport.
Utakuwa umepitiliza kipiga maji si bure. Yamekumwagikia usoni?
😅😂🤣🤣
 
Kufuatia ongezeko la abiria toka mkoa wa Kagera kwenda nchi nyingi za Ulaya. Shirika la Ndege la Air France linatarajia kuanza safari zake kutokea kiwanja cha ndge cha BUKOBA (BKZ) - Paris Charles de Gaulle (CDG) airport.
Wahaya mmeshindikana.
Hakuna uwanja wa ndege Bukoba ni kauwanja tu cha dharura
 
Kwa ndege gani za kimataifa zitatua kwenye kale kauwanja?

Saa zingine inabidi utumie akili.

Labda kama hii thread ni FUTUHI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…