Air hostage

Air hostage

Ni mateka wa hewani. Au mateka hewa.
Mawazo mbadala yanakaribishwa.

alijua kakosea akaomba kusahihishwa

akapata neno sahihi, is natural, is humanity na ni kawaida kwa kila mtu

wewe kuianzishia thread inaonyesha

1.una chuki, huna la kumkosoa
2.una chuki, iko moyoni unatafuta tu slight mistake

JPM atabaki kuwa juu, atabaki kileleni with or without your criticism

Na wewe unajiondoa kwenye kundi la normal human, unaingia kwenye kundi la usiye na wazazi au watu wazima.Likely mama alikutupa au kukuzalia chooni, kisha kwa sababu aliathirika hakukunyonyesha ukakosea common sense katika kila ufanyacho

ukitaka kuamini nilichoandika, jiulize...faida ya hii thread ni nini?

mtakusanyana hapa watoto mliotupwa jalalani
 
Ni mateka wa hewani. Au mateka hewa.
Mawazo mbadala yanakaribishwa.
Unajua kwa nn watanzania hatusongi mbele ni kwa sababu ya watu kama wewe wapo kusubili mtu ujikwae waanze kuchrka kujifurahisha nafsi zao.

Kwasababu sioni ajabu mheshimiwa kukosea maana si mtaalam wa mambo hayo ya anga na misamiati yake ndio maana akaomba neno sahihi na kusahihishwa.

Acha fitna wewe.
 
alijua kakosea akaomba kusahihishwa

akapata neno sahihi, is natural, is humanity na ni kawaida kwa kila mtu

wewe kuianzishia thread inaonyesha

1.una chuki, huna la kumkosoa
2.una chuki, iko moyoni unatafuta tu slight mistake

JPM atabaki kuwa juu, atabaki kileleni with or without your criticism

Na wewe unajiondoa kwenye kundi la normal human, unaingia kwenye kundi la usiye na wazazi au watu wazima.Likely mama alikutupa au kukuzalia chooni, kisha kwa sababu aliathirika hakukunyonyesha ukakosea common sense katika kila ufanyacho

ukitaka kuamini nilichoandika, jiulize...faida ya hii thread ni nini?

mtakusanyana hapa watoto mliotupwa jalalani
Mheshimiwa sijasema lolote kuhusu huyo uliyemtaja!
Na hayo mengine yote uliyosema ni ya kwako mwenyewe, miye simo! Sihusiki kabisaaaaa!
 
Nani kajikwaa? Nani kacheka?
 
Mheshimiwa sijasema lolote kuhusu huyo uliyemtaja!
Na hayo mengine yote uliyosema ni ya kwako mwenyewe, miye simo! Sihusiki kabisaaaaa!

ushaambiwa ukweli

note nilichokueleza hapo na jitathmini

hauna mama wewe bisha!
 
alijua kakosea akaomba kusahihishwa

akapata neno sahihi, is natural, is humanity na ni kawaida kwa kila mtu

wewe kuianzishia thread inaonyesha

1.una chuki, huna la kumkosoa
2.una chuki, iko moyoni unatafuta tu slight mistake

JPM atabaki kuwa juu, atabaki kileleni with or without your criticism

Na wewe unajiondoa kwenye kundi la normal human, unaingia kwenye kundi la usiye na wazazi au watu wazima.Likely mama alikutupa au kukuzalia chooni, kisha kwa sababu aliathirika hakukunyonyesha ukakosea common sense katika kila ufanyacho

ukitaka kuamini nilichoandika, jiulize...faida ya hii thread ni nini?

mtakusanyana hapa watoto mliotupwa jalalani
Acha kuabudu Binadamu mwenzako,na huko kileleni atakapobaki labda kileleni kwako na Mke wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nilishawahi kuona video kwenye youtube ya mtu anajiita 'konki faya' au 'konki liquid'. Alikuwa anasema atabaki kuwa juu, atabaki kileleni. Lakini konki yeye suala lake kuu ni kupiga 'gambe'.
 
Back
Top Bottom