Air Tanzania 2017 Losses - $50 Million


My dear friend and my neighbour just Kagame what he is earning annually, take one step more talk to Indian government...It is not easy to earn profit simply as you think!!!
 
Kwa takwimu na utafiti. Mashirika mengi ya ndege hujiendesha kwa hasara. Na kama kuna faida basi ni ndogo. Huwa najiuliza kama biashara inaendeshwa kwa hasara kwa nn isifungwe? Sababu aim of business is to get profit.
 
Where did Magufuli took the Loan, which bank ata mimi nataka nijue. ATCL ni biashara ya serikali, what ATCL earns from the beginning is Government's money... kwaio unatwambia kuwa Serikali inajilipa wenyewe sio?

Ask the banks who have been financing your annual budget deficit.
 
Kwa takwimu na utafiti. Mashirika mengi ya ndege hujiendesha kwa hasara. Na kama kuna faida basi ni ndogo. Huwa najiuliza kama biashara inaendeshwa kwa hasara kwa nn isifungwe? Sababu aim of business is to get profit.

National pride sana sana.
Air Tanzania will be bailed out by the government for many years to come.
 

Ndege za ATCL ziko leased from the government.

Govt to lease new aircraft to ATCL
 
insignificant airline...airline africa ni tatu tu
 
Ndege za ATCL ziko leased from the government.

Govt to lease new aircraft to ATCL
Inaonekana huelewi. Si unajua kama kulikuwa na shida katika kuletewa ndege yetu na wakazuia eti kwa sababu serikali ya Tanzania inadaiwa? Sasa ili kuwapiga chenga hao jamaa ndio tukaamua kufanya ndege tunazoleta kuwa sio mali ya serikali bali ni ya shirika fulani.

Hapo ni kucheza na sheria tu. Fanya upeleke Oxygen Tank kwa KQ. ATCL ndo inaanza safari ya maisha.
 
Kama ndege mbili mnamake nazo loss sasa kitambo mfike ndege ishirini (kama mtawahi fika) si mtakuwa mmenyonywa mmekufa na anaemia? Hahaha! Hii biashara sii ya kila mtu.
 
Kwa takwimu na utafiti. Mashirika mengi ya ndege hujiendesha kwa hasara. Na kama kuna faida basi ni ndogo. Huwa najiuliza kama biashara inaendeshwa kwa hasara kwa nn isifungwe? Sababu aim of business is to get profit.
Tatizo Viongozi wengi wa Tanzania hawajawahi kufanya biashara.
Na wanatumia mbinu ya kuwachukia na kuwapiga vita wafanya biashara kama mbinu ya kuungwa mkono na kundi kubwa la wale wasio na uelewa wa mambo ya kiuchumi. Kwa hiyo hata wale wana CCM wafanya biashara wenye makampuni wanakua waoga wa kutoa ushauri wao wa kibiashara kwa hofu ya kuitwa mafisadi na wapingaji.

Ukweli ni kwamba biashara nyingi za uchukuzi zinaendeshwa kwa hasara wakati mwingine. Hasa unapoweka Quality bora kwenye huduma! Mfano kuna wakati unaweza ukapanda mabasi yanayokwenda Arusha ukakuta kuna Abiria watano tu badala ya Hamsini.
Unajiuliza pesa ya mafuta itapatikana vipi na posho ya Wafanyakazi na tajiri anapata nini!
Kwa hiyo hapo kama una kabasi kamoja utatetereka sana.

Kwa hiyo hata Ndege siamini kuwa serikali za awamu zilizopita walishimdwa kununua ndege lakini walikua wanafuata ushauri wa kiuhalisia.

Sijui kama tuna mahusiano mazuri kiasi gani na watalii kuliko Kenya mpaka waache kupanda Kenya Air line wapande Kilimanjaro Air wing.
Nasema hivyo kwa sababu watalii hua hawaji Tanzania pekee wanakuja East Afrika. Na baada ya kufika nchi yoyote wanasafiri kwa magari na sio ndege kama tunavyoaminishwa sana.
Hata huko ulaya watalii hawapendi kusafiri na ndege mana usafiri wa mabasi na treni unawapa fursa ya kuona mengi wanapokua safarini.

Ningekua ni mawazo yangu tulitakiwa tuimarishe barabara zetu za ndani zaidi na kujenga mahoteli makubwa kwenye vivutio vyetu.

Ndege kwa kweli Nina mashaka na ushindani wake na hujuma mbalimbali zinazofanywa kibiashara. Biashara ni lazima itangazwe sana na kwa gharama kubwa.

Any way namsifu Mkuu wa nchi kwa ujasiri wa kuthubutu.
Huenda angepatikana mtu makini na jasiri akamshauri jambo zuri nadhani nadhani ni jasiri wa kufanya.

Ni ufahara kwa kweli kuwa na ndege kama nchi.
 
Hiyo ATCL ni ndege kutoka kampuni ipi ya ndege duniani?
 
Kama kizungu hakipandi lazima u comment? Pita kimya tuu
Huyo mpuuzi ndio hakipandi. Sasa kuchanganya lugha ndio nini kama sio ulimbukeni? Andika aidha kwa Kiingereza au kwa Kiswahili. Hata wewe unaoneka ni limbukeni tu. "....lazima u comment..." ndio nini?
 
Huyo mpuuzi ndio hakipandi. Sasa kuchanganya lugha ndio nini kama sio ulimbukeni? Andika aidha kwa Kiingereza au kwa Kiswahili. Hata wewe unaoneka ni limbukeni tu. "....lazima u comment..." ndio nini?
Kuna hiyo condition kwenye hii forum? Huwezi kumpangia mtu namna ya ku comment...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…