Air Tanzania 2017 Losses - $50 Million

You know nothing about our monetary, no banks loaned the government, and we aint broke. We cash buying planes, financing sgr & stiegler's gorge, building roads and renovating railway lines.
Nyang'au utapata tabu sana kwa wivu.

You have no idea on how governments raise money. Especially a broke government like yours where collected taxes hardly scratch the surface.
 
We punga, tizama reli tv and trl tv kwa youtube uone sgr inavyojengwa na ilipofikia, uone machines and human resources working, alafu urudi hapa uniambie kama inajengwa na mafi yako yatokapo ukipungaliwa ama ni fwedha.
Bloody fools

Reli TV imajaa interview na officials ambao kazi yao ni kuimba wimbo wa supreme leader.
The only progress reli tv imeonyesha ni hizo pillar sita ambazo zimechukua mwaka na nusu kujengwa, na bado hazijakamilishwa.
Hapa Nairobi tumejenga pillar zaidi ya 100 kwa nusu mwaka.
 
We punga, tizama reli tv and trl tv kwa youtube uone sgr inavyojengwa na ilipofikia, uone machines and human resources working, alafu urudi hapa uniambie kama inajengwa na mafi yako yatokapo ukipungaliwa ama ni fwedha.
Bloody fools
Nenda kawa fool wapumbavu wanzio.
 
baki na upumbuvu wako, na bado tegemeeni kuendelea kukosa miradi mikubwa mikubwa dhidi ya TANZANIA, roho inawauma sana hasa mkikumbuka mlivyohaha na bomba la mafuta! ha ha ha ha poor nyang'au brave Magufuli
 
mbona povu lakutoka mzeebaba..??
We punga, tizama reli tv and trl tv kwa youtube uone sgr inavyojengwa na ilipofikia, uone machines and human resources working, alafu urudi hapa uniambie kama inajengwa na mafi yako yatokapo ukipungaliwa ama ni fwedha.
Bloody fools
Wewe mpumbavu kweli utakuwa ukihanya Gikomba ama ukiitisha biashara za magendo mipakani! Pini ya JPM lazma inakuchoma vibaya!
😀😀😀😀
Air Tanzania imeondolewa kwenye mfumo wa malipo wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga(IATA) kwa sababu ya madeni
 
haaaaa ndege za magufuli zilianza kazi November 2016 uku shirika lilikuwa limekufa wewe unaleta data za 2014 empty set
Don't argue like a primary school boy, hizo numbers ni kweli au uongo hilo ndiyo swali la nyingi kama kabla ya 2017 walikuwa wanapata hasara na ndege ni zao, unategemea leo wakodi ndege serikalini wapate faida, shida yetu sisi watanzania ni umbumbumbu tuu
 
Tanzania is a nation and not a commercial entity.
 
Tanzania is a nation and not a commercial entity.

A dreamliner can carry 250 passengers.
A train can carry thousands. Or hundreds of containers. And open up lots of interior areas.
It shows which 'nation' is thinking.

Here in Kenya we let the private sector bail out and run the airline.
The amount used to buy a single dreamliner of 250 passengers, can build 2 very big hospitals.

And by the way, I brought up ATCL because you have been singing how KQ makes losses. Kumbe Air Tanzania is even worse. It's on its death bed yet it was only operating 3 aircraft.
 
Ndege moja kupambana na ndege zaidi ya thelathini?
mjinga ni mjinga tu, "MBUYU ULIANZA KAMA MCHICHA", "ROMA HAIKUJENGWA KWA SIKU MOJA". Tulianza na sifuri na mpaka sasa tunazo ndege 4 ifikapo 2020 tutakuwa na jumla ya ndege 7! be prepared
 
mjinga ni mjinga tu, "MBUYU ULIANZA KAMA MCHICHA", "ROMA HAIKUJENGWA KWA SIKU MOJA". Tulianza na sifuri na mpaka sasa tunazo ndege 4 ifikapo 2020 tutakuwa na jumla ya ndege 7! be prepared
Sisi ni mbuyu nyie bado mfano wa mbegu ya mbuyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…