Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 18,042
- 19,787
Matindi CEO wa ATCL atolewe haraka sana, sio mtaalam wa aviation kabisa, mtu hajui hata ndege ni nini technically, hatakiwi kupewa shirika la ndege hata kidogo, Matindi hana sifa hata kidogo ya kuwa Mkurugenzi wa ATCL. Hili tu ni kosa kisheria kwa kuzingatia TCAA Regulations za AOC and Admin. 2017, Accountable Manager anatakiwa awe mtaalam wa ndege kabisa.
CAG kasema wazi Bodi ya ATCL nzima haina mtaalam hata mmoja wa ndege, Matindi ni katibu wa Bodi hiyo, CAG baada ya kupitia CVs zao kaona wazi wote wababaishaji tupu, wanaidanganya serikali. Sasa jiulizeni, unaweka watu ATCL hakuna mtaalam hata mmoja in top management, alafu utegemee faida au kuendesha shirika kitaalam? Serikali imewekeza fedha nyingi sana in trillions, haitakiwi ATCL isimamiwe na watu sio aviation professionals.
Matindi ni wa kupiga chini haraka sana na bodi yote, JPM alimchagua tu sbb anatokea kanda ya Ziwa tu. Bila kuweka wataalam wa aviation ATCL, tusitegemee maajabu au faida, kila siku itakuwa ni hasara tu.
Mh. Rais wetu Mama Samia, inabidi afanye haraka management change ATCL haraka sana. Kuanzia CEO na Bodi yote kuvunja na kuteua wataalam wa aviation to run ATCL. Bila hivyo niseme ukweli, ATCL itazidi kuumia.