What about Ethiopian Airlines? Mbona ni 100% owned by government….Serikali na biashara ni maji na mafuta
What about Ethiopian Airlines? Mbona ni 100% owned by government….
Mmezoea vyoo vya shimo itabidi mkifika maporini dereva afungue madirisha msimame mchimbe dawa.Tarehe 30-12-2023 nimepanda ndege yenu iliyokuwa inatoka Dar es Salaam kwenda Guangzhou iliyopewa ruti namba TC 402.
Button za viti ambazo utumika kuweka kiti kwa mkao anaoutaka mtumiaji nyingi zimeharibika.Hili linapelekea msafiri kutokuwa na uwezo wa kuweka kiti atakavyo na kupelekea kero kubwa kwa wasafiri waliopewa siti ambazo hizo button ni mbovu.
Vyoo vinatoa harufu,nunueni pafyumu za kupulizia kwenye vyoo vya ndege.
Nawashauri fungueni ukurasa hapa JF hili tuweze kuwa na fursa ya kuwashauri kwa minajili ya kuboresha huduma ya shirika letu.
Yeye amesema serikali haiwezi kuendesha biashara na mimi nimemjibu kumuonyesha na kumuonyesha mfano kuwa serikali inaweza kuendesha biashara kama ipo na mikakati serious na watu makini.Uzi unahusu serikali ya Ethiopia au Tanzania?
ndio ni mpya,nadhani ukaguzi wa marekebisho madogo madogo haufanyikiDuh hii si mpya mkuu au mpaka ipelekwe matengenezo ya batton canada
Yeye amesema serikali haiwezi kuendesha biashara na mimi nimemjibu kumuonyesha na kumuonyesha mfano kuwa serikali inaweza kuendesha biashara kama ipo na mikakati serious na watu makini.
Ok nitakupa mifano michache ya biashara za serikali zenye mafanikio.Yeye ni mimi,uliyeniquote. Punguza kukurupuka mkuu. Uzi unahusu Air Tanzania na sio Ethiopia. Serikali yetu haiwezi kuendesha biashara,tafuta biashara inayoendeahwa na serikali yetu kupitia hao watu makini
Rudia tena na tena labda utamwelewa.Yeye ni mimi,uliyeniquote. Punguza kukurupuka mkuu. Uzi unahusu Air Tanzania na sio Ethiopia. Serikali yetu haiwezi kuendesha biashara,tafuta biashara inayoendeahwa na serikali yetu kupitia hao watu makini
ATCL wanafeli kwenye mambo madogomadogo.mm niliteswa na ATCL kutoka MUMBAI- DSM, Ndege ya Saa 11 Alfajir tulikuja kuipanda Saa 2 na muda wote huo hakuna maelezo
Nini ambacho huelewi? Tunaongelea serikali ya Tanzania siyo Ethiopian. Kama kuna sehemu yoyote serikali imefanikiwa ndo tolea mfano hapa siyo kukimbilia nchi ambazo hatujadili hapaYeye amesema serikali haiwezi kuendesha biashara na mimi nimemjibu kumuonyesha na kumuonyesha mfano kuwa serikali inaweza kuendesha biashara kama ipo na mikakati serious na watu makini.
MSD hawa wanaochukua pesa bila kupeleka dawa vituo vya afya na zahanati au wengineOk nitakupa mifano michache ya biashara za serikali zenye mafanikio.
1. Biashara ya mazao ya misitu, tiki, mkulungu nk…
2. Biashara ya utalii, hapa naisemea NCA, Tanapa etc
3. Nenda hapo kwenye transit cargo zinazopita hapa kwetu.
4. MSD now wanadeliver Dawa mpaka huko Zambia
Kwa ufupi mkuu zipo sehemu nyingi zenye mafanikio na huduma nzuri ambazo 100% zipo owned by government.
Hiyo itakuwa Dreamliner ya mwanzo kabisa, 5H-TCG !...Hii si imefanyiwa matengenezo nchini Malasia miezi mitatu iliyopita ? ... Au walitengeneza bodi na injini tu?ndio ni mpya,nadhani ukaguzi wa marekebisho madogo madogo haufanyiki
Kuna aina fulani ya kelele isiyokuwa ya kawaida wakati ndege zetu za Airbus 220-300 zinapofungua milango ya magurudumu kabla ya kutua. Mkito nimewahi kusikia kwenye ndege za zamani lakini kwenye Airbus ni mlio unaoashiria hitilafu.... ATCL wanapaswa kutoa ufafanuzi kwenye hili.Na kuna ule mkito wa tairi zinapoingia ndani
Nimetoa mfano wa mambo serikali iliyofanikiwa pia.Nini ambacho huelewi? Tunaongelea serikali ya Tanzania siyo Ethiopian. Kama kuna sehemu yoyote serikali imefanikiwa ndo tolea mfano hapa siyo kukimbilia nchi ambazo hatujadili hapa