Air Tanzania haihusiki na manunuzi ya ndege

Billal Saadat

Senior Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
169
Reaction score
358
Ndege zinazotumiwa na ATCL zinamilikiwa na Serikali kupitia TGFA. Manunuzi ya ndege hufanywa na TGFA na kisha kukodishwa kwa ATCL. Hivyo, ATCL haihusiki na mchakato wa manunuzi ya ndege.

Eng. Matindi haihusiki kabisa na ununuzi wa ndege hayupo kwenye mchakato kuna wahuni wachache walijaribu kufanya ujinga huo nao wameshughulikiwa ipasavyo wapo kwenye mikono thabiti ya TAKUKURU uzuri siku hizi taarifa zinatoka na watu wameshughulikiwa.
 
Eng. Matindi hausiki kabisa na ununuzi wa ndege hayupo kwenye mchakato kuna wahuni wachache walijaribu kufanya ujinga huo nao wameshughulikiwa ipasavyo wapo kwenye mikono thabiti ya TAKUKURU uzuri siku hizi taarifa zinatoka na watu wameshughulikiwa.
Ni habari njema. Hstua zichukuliwe, na wananchi wapewe taarifa.

Kwa hotuba ile ya Rais, kwa vyovyote hakukuwa na namna ya hawa watu majizi kutoshughulikiwa.
 
Ndege zinazotumiwa na ATCL zinamilikiwa na Serikali kupitia TGFA. Manunuzi ya ndege hufanywa na TGFA na kisha kukodishwa kwa ATCL. Hivyo, ATCL haihusiki na mchakato wa manunuzi ya ndege.

Eng. Matindi hausiki kabisa na ununuzi wa ndege hayupo kwenye mchakato kuna wahuni wachache walijaribu kufanya ujinga huo nao wameshughulikiwa ipasavyo wapo kwenye mikono thabiti ya TAKUKURU uzuri siku hizi taarifa zinatoka na watu wameshughulikiwa.
Manunuzi ya ndege yanafanyikia ikulu
 
Sawa mtoto wa injinia wa atcl ila mwambie baba yako shirika liko dhoofu bin taabani. Akaze buti hasara zimekua nyingi. Mwisho shirika watakodishwa vijana wa dubai wafanye biashara watoe gawio
 
Nani kashughulikiwa? Kwa majina tafadhali
 
Kama anakodisha anapataje hasara? Manake mtu unakodisha kutokana na mahitaji kwani lazima akodi TGFA, ebu mtuache kwanza wakati huu wa kutafakari hatua za kuwachukulia nyie na mabwana zenu.
 
Ndege zinazotumiwa na ATCL zinamilikiwa na Serikali kupitia TGFA. Manunuzi ya ndege hufanywa na TGFA na kisha kukodishwa kwa ATCL. Hivyo, ATCL haihusiki na mchakato wa manunuzi ya ndege.

Eng. Matindi hausiki kabisa na ununuzi wa ndege hayupo kwenye mchakato kuna wahuni wachache walijaribu kufanya ujinga huo nao wameshughulikiwa ipasavyo wapo kwenye mikono thabiti ya TAKUKURU uzuri siku hizi taarifa zinatoka na watu wameshughulikiwa.

Ngoja tuone:

JamiiForums298906090_512x311.jpg
 
Basi wrong timing. Maana hapo alikuwa anatafutwa Matindi. Ikumbukwe huyu bwana alitolewa nje ya nchi na Magufuli. Na kama tujuavyo mfumo wa sasa unaoinjiniwa na mama hauwataki watu waliofanya kazi na Magu.
 
Sawa mtoto wa injinia wa atcl ila mwambie baba yako shirika liko dhoofu bin taabani. Akaze buti hasara zimekua nyingi. Mwisho shirika watakodishwa vijana wa dubai wafanye biashara watoe gawio
ndo uzuri wa kuwa na watoto wa mafisadi humu ndani,wameanza kujipambanua wenyewe.hata huko nyuma ilikuwa hivyo hivyo.
 
Basi wrong timing. Maana hapo alikuwa anatafutwa Matindi. Ikumbukwe huyu bwana alitolewa nje ya nchi na Magufuli. Na kama tujuavyo mfumo wa sasa unaoinjiniwa na mama hauwataki watu waliofanya kazi na Magu.

Rais hawazi kuendesha nchi kwa hisia za Citizen Journalist.
 
Ndege zinazotumiwa na ATCL zinamilikiwa na Serikali kupitia TGFA. Manunuzi ya ndege hufanywa na TGFA na kisha kukodishwa kwa ATCL. Hivyo, ATCL haihusiki na mchakato wa manunuzi ya ndege.

Eng. Matindi haihusiki kabisa na ununuzi wa ndege hayupo kwenye mchakato kuna wahuni wachache walijaribu kufanya ujinga huo nao wameshughulikiwa ipasavyo wapo kwenye mikono thabiti ya TAKUKURU uzuri siku hizi taarifa zinatoka na watu wameshughulikiwa.
Kuna siku nilikuwa nasikiliza BBC World Service, kipindi cha Business Daily.

Walikuwa wanamhoji CEO wa Ethiopian Airlines, wakamuuliza, nini siri ya mafanikio ya kampuni yake?

Akasema, kuna mambo mengi. Lakini, kimoja cha msingi, ni kwamba, serikali yao haiwaingilii kisiasa, wameachiwa uhuru wa kufanya maamuzi kitaalamu.

Nikajiuliza sana kuhusu suala hili kwa ATCL. Nikaona kama suala hili ni muhimu sana, basi ATCL haiwezi kufanikiwa, kwa sababu inaingiliwa sana kisiasa. Hata manunuzi ya ndege yanafanywa kisiasa, kiasi kwamba ndege zinanunuliwa kabla hata ya business plan kupatikana.

Serikali inafanya biashara ya usafiri wa anga kama biashara ya kuchoma mahindi!
 
ATCL ilikuwa inahitaji Cargo kwasasa wamepata kwa Tanzania hili ni suluhisho kubwa itafidia gape la hasara ya ndege za abiria.

Pamoja na yote Serikali ya awamu ya sita imeiacha ATCL Iendelee kujitanua na kupata masoko nje.

Changamoto ni moja kutokana na madeni ya nyuma shirika kwasasa linakodi ndege kutoka kwa TGFA wakala wa ndege za serikali kwahiyo kama ukiangalia hapa unaweza kugundua chochote kitu.

Boss wa ATCL ni miongoni mwa Wataalam wabobezi kwenye Biashara ya anga.
 
Bado wanacheza tu, kwa sababu mkono mmoja haujui mkono mwingine unafanya nini mpaka madudu yanakuja kuibuliwa na rais.

Na rais mwenyewe hana hata mkakati wa kuyamaliza hayo madudu.
 
Uongozi ni pamoja na kuwa na emotional intelligence ya hali ya juu kucontrol hisia na kuendesha nchi kwa busara, Sheria itafuata mkondo wake neno la Rais ni agizo. Litatekelezwa.
 
That is a very reactive approach, yani ana react baada ya wizi kutokea, hajaziba chanzo cha wizi kutokea.

Ndiyo maana nasema hata yeye hana mkakati.

Hilo moja kaliibua, mangapi hajayajua na hayo ambayo hajayajua sheria itatusaidiaje kama tunategeme mpaka rais aone ndiyo sheria ifuate mkondo wake?

There is no systemic reform or strategy.
 
Basi wrong timing. Maana hapo alikuwa anatafutwa Matindi. Ikumbukwe huyu bwana alitolewa nje ya nchi na Magufuli. Na kama tujuavyo mfumo wa sasa unaoinjiniwa na mama hauwataki watu waliofanya kazi na Magu.
Wee ndo mavi kabisa. Rais kumtengua Mkurugenzi wa ATCL anahitaji sanaa kweli? Samia hana hiyo tabia ya jiwe, hana kinyongo bila sababu. Bila shaka anajua kuwa Matindi ni mchapakazi ndio maana yupo anachapa kazi.
 
Lakini aachwe Baraba, Matindi ang'oke, ni huyo ndio tunamtaka japo anateleza teleza kama kambale
 
Back
Top Bottom