Air Tanzania haihusiki na manunuzi ya ndege

Air Tanzania haihusiki na manunuzi ya ndege

Basi wrong timing. Maana hapo alikuwa anatafutwa Matindi. Ikumbukwe huyu bwana alitolewa nje ya nchi na Magufuli. Na kama tujuavyo mfumo wa sasa unaoinjiniwa na mama hauwataki watu waliofanya kazi na Magu.
Lakini Bitozo Hangaya si alifanya kazi na Magu... Tena kwa karibu sana? 😳
 
That is a very reactive approach, yani ana react baada ya wizi kutokea, hajaziba chanzo cha wizi kutokea.

Ndiyo maana nasema hata yeye hana mkakati.

Hilo moja kaliibua, mangapi hajayajua na hayo ambayo hajayajua sheria itatusaidiaje kama tunategeme mpaka rais aone ndiyo sheria ifuate mkondo wake?

There is no systemic reform or strategy.

Angeweza kukaa kimya mpaka amesema unajua ni lini jambo limetendeka, Unajua kama muhusika tayari anaweza kuwa chini ya mikono ya sheria.?
 
Angeweza kukaa kimya mpaka amesema unajua ni lini jambo limetendeka, Unajua kama muhusika tayari anaweza kuwa chini ya mikono ya sheria.?
Kukaa kimya na kusema si hoja, kwani wangapi wamesema kabla yake?

Unapotumia neno "anaweza" inaonekana hata wewe hujui muhusika yupo chini ya sheria au hayupo.

Na hata muhusika akiwa chini ya sheria, hilo si suluhisho.
 
Ndege zinazotumiwa na ATCL zinamilikiwa na Serikali kupitia TGFA. Manunuzi ya ndege hufanywa na TGFA na kisha kukodishwa kwa ATCL. Hivyo, ATCL haihusiki na mchakato wa manunuzi ya ndege.

Eng. Matindi haihusiki kabisa na ununuzi wa ndege hayupo kwenye mchakato kuna wahuni wachache walijaribu kufanya ujinga huo nao wameshughulikiwa ipasavyo wapo kwenye mikono thabiti ya TAKUKURU uzuri siku hizi taarifa zinatoka na watu wameshughulikiwa.
Wakodisheni ndege hizo Precision Air kama mnataka kuona faida.
 
Ninavyoelewa mie, mashirika mengi ya ndege mfano KQ yamepata hasara kutokana na pamoja na mengine uwepo wa travel restrictions tokana na Covid 19 pandemic.
 
Back
Top Bottom