Air Tanzania haihusiki na manunuzi ya ndege

Basi wrong timing. Maana hapo alikuwa anatafutwa Matindi. Ikumbukwe huyu bwana alitolewa nje ya nchi na Magufuli. Na kama tujuavyo mfumo wa sasa unaoinjiniwa na mama hauwataki watu waliofanya kazi na Magu.
Lakini Bitozo Hangaya si alifanya kazi na Magu... Tena kwa karibu sana? 😳
 

Angeweza kukaa kimya mpaka amesema unajua ni lini jambo limetendeka, Unajua kama muhusika tayari anaweza kuwa chini ya mikono ya sheria.?
 
Angeweza kukaa kimya mpaka amesema unajua ni lini jambo limetendeka, Unajua kama muhusika tayari anaweza kuwa chini ya mikono ya sheria.?
Kukaa kimya na kusema si hoja, kwani wangapi wamesema kabla yake?

Unapotumia neno "anaweza" inaonekana hata wewe hujui muhusika yupo chini ya sheria au hayupo.

Na hata muhusika akiwa chini ya sheria, hilo si suluhisho.
 
Wakodisheni ndege hizo Precision Air kama mnataka kuona faida.
 
Ninavyoelewa mie, mashirika mengi ya ndege mfano KQ yamepata hasara kutokana na pamoja na mengine uwepo wa travel restrictions tokana na Covid 19 pandemic.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…