kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Air Tanzania imeingizwa kwenye mashirika ya ndege yasiyotakiwa kwenda nchi za jumuiya ya ulaya.
Tanzania tuachane kabisa na mataifa ya kikoloni, kwakuwa wanajiona ni wakoloni na kutuona watawaliwa mpaka Leo. Sisi waafrika tunashida gani?
Huu ni muda wa kuelekeza nguvu zetu Africa, Asia, Urusi na Latin America kwa mustakabali wetu.
Air Tanzania inazuiwa kwenda umoja wa ulaya kwa sababu za kiimra kama vile ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Uganda, bwawa la Nyerere, uchimbaji makaa, matumizi ya gesi yetu, kuhamisha wamasai kutoka ngorongoro, au kelele za wapinzani waliobeba ajenda na pesa za wakoloni.
Huu ni muda wa maskini jeuri, tuachane na ndege kutoka nchi za Ulaya pia (respocate). Hii haitatusaidia kwasasa lakini itatusaidia huko mbele ya safari.
Lakini kama Kuna kitu cha ufundi hakikutimia kwenye ndege za air Tanzania tuulizane maswali wenyewe kwanini hakikutimia na tuwajibishane maana hata sisi watanzania hatutaki kufa kwa uzembe wa watendaji wa Air Tanzania.