Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
- Thread starter
-
- #21
Du, mzee,pamoja na msisitizo wote ule ma Magufuli kuhusu kununua ndege kwa fedha yetu wenyewe bado unaziita za kukodi?Mzee baba umebugi, hata shirika letu la ndege halina ndege hata moja zote ni za kukodi
Mimi nakwambia shirika linakodi ndege kama unabisha sawa,Du, mzee,pamoja na msisitizo wote ule ma Magufuli kuhusu kununua ndege kwa fedha yetu wenyewe bado unaziita za kukodi?
Kama ni suala la shirika, hilo lisikupe shida. Context ya thread ni kwamba Tanzania tuna ndege zetu wenyewe, kwa kuwa shirika ni la serikali pia.
Acheni kuwatukuza Kenya isivyostahiliKwahiyo tufanye nini sasa?
get well soon tl
Shirika ni la nani na linakodi ndege kwa nani? Acha kuwa mzito kuelewa. Kenya Airways kama shirika la serikali ina ndege tatu zinazomilikiwa na Kenya kama serikali. Sisi tuna ndege tisa za Air Tanzania zinazomilikiwa na serikali. Hiyo ndiyo context.Mimi nakwambia shirika linakodi ndege kama unabisha sawa,
Kwa faida ya kina TomasoTetesi!!!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Haya, chapua hiyo hapoKenya Airways Bado Wapo Extra Mile Mbele Kuliko Air Tanzania. Hizo Habari Kwamba Wana Ndege 3 Ni 'Tetesi' Tu!
Air tanzania wanamiliki ndege ngapi?Huwa ni mara chache naunga mkono hatua za Magufuli lakini kwa hili la kununua ndege niliona kwamba ni mkakati ambao unaweza kuwa na manufaa kwa Tanzania. Nilikumbuka matatizo tuliyopata baada ya kuingia mkataba na South African Airways ambao walitukodishia ndege zao na tukapata hasara kubwa sana. Hata hivyo bado nina mashaka sana na uendeshaji wa Air Tanzania na menejimenti yake.
Watanzania wengi sana hupenda kuilinganisha Tanzania na Kenya, na kuona kwamba wanatuzidi sana, kuanzia mambo ya elimu, ushindani nafasi za kazi, na hata umahili wa shirika la taifa la ndege.
Sasa kuna tetesi kwamba Shirika la ndege la Kenya, katika ndege zote wanazotumia wao wanamiliki ndege tatu tu, na nyingine zote sio za kwao ni za mashirika na watu binafsi, kutia ndani vigogo wa Kenya. Na inaonekana kwa sasa Kenya Airways wana hali ngumu sana kifedha kutokana na kuendesha shirika kwa kutumia ndege za kukodi. Kwa hiyo ukilinganisha Tanzania na Kenya, kwa kuwa sisi tuna ndege za Air Tanzania tisa ambazo ni zetu wenyewe, tofauti na wao wenye kumiliki ndege tatu tu, sie tuko mbali sana na kuwazidi katika suala la shirika la ndege la taifa.
Kumbuka kwamba ukikodi ndege kama shirika la ndege, unailipia hata kama haifanyi safari, au inafanya safari kwa hasara. Hali ni tofauti kama unatumia ndege zako mwenyewe, unaweza hata kuzipaki mwezi mzima, kutegemea na hali ya biashara, bila kujali sana kwa kuwa ni zako.
Hali ngumu ya Kenya Airways imefanya hata kuwe na mpango wa kulikabidhi shirika hilo viwanja vyote vya ndege nchini humo viwe mali zake. Tetesi zinasema pendekezo hilo linatokana na wanasiasa vigogo wa Kenya ambao baadhi yao wanamiliki ndege za Kenya Airways, na baada ya kuona faida kubwa inayopatikana toka viwanja vya ndege, njia pekee ya kufaidika na faida hiyo ni kuvifanya viwanja hivyo vimilikiwe na Kenya Airways ambako wana shares. Wadau wazalendo wa Kenya wanapinga hatua hiyo, kwamba haileti maana kukabidhi viwanja vya ndege toka kampuni ya taifa ya Kenya Airport Authority (KAA) inayofanya kazi vizuri na kwa faida na kuviweka nchini ya Kenya Airways (KQ) ambao wanapata hasara kila mwaka. Hiyo ndiyo Kenya ya wenzetu.
Update on thread: Sio tetesi tena, source ni Daily Post ikiripoti jambo lililojadiliwa na Kamati ya Bunge
DAILY POST: SHOCK as it emerges KQ owns 3 planes only, 25 planes are owned by corrupt businessmen and State operatives - KINOTI please
View attachment 1037779
View attachment 1037780
Air Tanzania, shirika la serikali, kimsingi wanamiliki ndege 9 za serikali.Air tanzania wanamiliki ndege ngapi?
Inawazidi kwa kupata hasara.?Huwa ni mara chache naunga mkono hatua za Magufuli lakini kwa hili la kununua ndege niliona kwamba ni mkakati ambao unaweza kuwa na manufaa kwa Tanzania. Nilikumbuka matatizo tuliyopata baada ya kuingia mkataba na South African Airways ambao walitukodishia ndege zao na tukapata hasara kubwa sana. Hata hivyo bado nina mashaka sana na uendeshaji wa Air Tanzania na menejimenti yake.
Watanzania wengi sana hupenda kuilinganisha Tanzania na Kenya, na kuona kwamba wanatuzidi sana, kuanzia mambo ya elimu, ushindani nafasi za kazi, na hata umahili wa shirika la taifa la ndege.
Sasa kuna tetesi kwamba Shirika la ndege la Kenya, katika ndege zote wanazotumia wao wanamiliki ndege tatu tu, na nyingine zote sio za kwao ni za mashirika na watu binafsi, kutia ndani vigogo wa Kenya. Na inaonekana kwa sasa Kenya Airways wana hali ngumu sana kifedha kutokana na kuendesha shirika kwa kutumia ndege za kukodi. Kwa hiyo ukilinganisha Tanzania na Kenya, kwa kuwa sisi tuna ndege za Air Tanzania tisa ambazo ni zetu wenyewe, tofauti na wao wenye kumiliki ndege tatu tu, sie tuko mbali sana na kuwazidi katika suala la shirika la ndege la taifa.
Kumbuka kwamba ukikodi ndege kama shirika la ndege, unailipia hata kama haifanyi safari, au inafanya safari kwa hasara. Hali ni tofauti kama unatumia ndege zako mwenyewe, unaweza hata kuzipaki mwezi mzima, kutegemea na hali ya biashara, bila kujali sana kwa kuwa ni zako.
Hali ngumu ya Kenya Airways imefanya hata kuwe na mpango wa kulikabidhi shirika hilo viwanja vyote vya ndege nchini humo viwe mali zake. Tetesi zinasema pendekezo hilo linatokana na wanasiasa vigogo wa Kenya ambao baadhi yao wanamiliki ndege za Kenya Airways, na baada ya kuona faida kubwa inayopatikana toka viwanja vya ndege, njia pekee ya kufaidika na faida hiyo ni kuvifanya viwanja hivyo vimilikiwe na Kenya Airways ambako wana shares. Wadau wazalendo wa Kenya wanapinga hatua hiyo, kwamba haileti maana kukabidhi viwanja vya ndege toka kampuni ya taifa ya Kenya Airport Authority (KAA) inayofanya kazi vizuri na kwa faida na kuviweka nchini ya Kenya Airways (KQ) ambao wanapata hasara kila mwaka. Hiyo ndiyo Kenya ya wenzetu.
Update on thread: Sio tetesi tena, source ni Daily Post ikiripoti jambo lililojadiliwa na Kamati ya Bunge
DAILY POST: SHOCK as it emerges KQ owns 3 planes only, 25 planes are owned by corrupt businessmen and State operatives - KINOTI please
View attachment 1037779
View attachment 1037780
Unajua kusoma? Waulize watu juu ya assets na liabilities ndio utajua kinachoongelewa hapa. ATC kama shirika la serikali kimsingi ndege walizo nazo zinawafanya better off sana kuliko Kenya Airways. Leo wenye ndege Kenya Airways wakisema tunachukua ndege zetu ndio mwisho wa KQ. Sasa serikali ya Tanzania inaweza kuiambia Air Tanzania tunachukua ndege zetu? Labda tuwe tuna raisi taahira.Inawazidi kwa kupata hasara.?
Bogus ni wewe umeshindwa kuelewa thread
Na ATCL ni mali ya Mengi na MO, sivyo? Nani ana share 100% katika ATCL? Jitafakari kabla hujatoa jibu, maana unaweza ukagundua jambo fulani juu yako ambalo huenda ulikuwa hujui.Air Tanzania lini wamenunua ndege....?
Au mleta uzi unaongelea ndege za serikali ambazo wamepewa ATCL kufanyia kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
hata kwa mwandishi kalisema, lakini kwa vile dhumuni ni kutoa sifa, amesahau.Kwa mujibu wa Rais, Air Tanzania Haina Ndege hata Moja, ndege zile Ni Mali ya Wakala wa Ndege za Serikali. Kwa hiyo Kama KQ Wana ndege 3 wameizidi ATCL!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya airways hawezi kuilingasha na Air Tanzania, brand equity ya Kenya airways ni kubwa sana kuliko Air Tanzania ndio maana watu wanye Ndege zao wanaikodishia kenya airways ili wapate faida. Ukubwa wa Shirima sio idadi ya ndege inazozimiliki bali operation routes , idadi ya abiria na mizigo inayosafirisha. Bila ya kusahau thamani ya brand yake brand equity.
Nimewauliza, nani anamiliki ATCL kwa 100%? Kwa hiyo ATCL ni ya nani? Na ndege ni za nani?hata kwa mwandishi kalisema, lakini kwa vile dhumuni ni kutoa sifa, amesahau.
Mbona unapanic pimbi wewe! Yaan unafurahia mandege mengi ambayo mpaka yanakosa abiria inabidi yaote jua pale jnia? Unanunua ndege after 2 months unapeleka service ya billion kadhaa zaidi ya ulichoingiza, af unashangilia ugolo? Acha unafiki na usijilinganishe na Kenya chief kwa lolote. We subiri MTU aote akuleeteeni kama sheria mfate.Unajua kusoma? Waulize watu juu ya assets na liabilities ndio utajua kinachoongelewa hapa. ATC kama shirika la serikali kimsingi ndege walizo nazo zinawafanya better off sana kuliko Kenya Airways. Leo wenye ndege Kenya Airways wakisema tunachukua ndege zetu ndio mwisho wa KQ. Sasa serikali ya Tanzania inaweza kuiambia Air Tanzania tunachukua ndege zetu? Labda tuwe tuna raisi taahira.