Tetesi: Air Tanzania inawazidi sana Kenya Airways ambao kumbe wanamiliki ndege tatu tu nyingine zote sio za kwao

Hapana, ATCL ni shirika, serikali haifanyi biashara ATCL Inaweza kufa lakini si serikali.
Nadhani huelewi maana ya serikali haifanyi biashara. Unasema ATCL ni shirika, sio shirika la serikali?
 
Unajua, kila unaposoma post za mtu ni rahisi sana kuona nani hakupata nafasi ya kupata elimu ya juu. Ni wazi wewe ni mmojawapo. Tutajitahidi kuongeza nafasi za elimu ya juu nchini, ila nachokushauri kwa sasa ni kwamba jikite zaidi kwenye Forum za Udaku na Ucheshi, huku waachie watu waliopata nafasi za elimu ya juu.
 
Tuna moja bana hairuki 5H-MWF.Ina miaka miwili haijaruka na nara ya mwisho ikitoka C check na kuja moja kwa moja hangar kuoack.Mpaka leo hakuna maelezo ya kwann ndege hairuki na hasara kiasi gani imepatikana kwa ndege hiyo kupaki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika njaa c kitu kizuri. Endelea kusifia ujinga
 
Huu uzi wengi hawaupendi kuusikia hivyo wachangiaji watakuwa wachache na hao wachache watapingana nao
 
Mleta uzi kasema ukweli mtupu ambao watu wengi kutoka pinga pinga fc hawapendi kuusikia,
Kenya airways wanamiliki ndege 3 tu na ni shirika linalojiendesha kwa hasara miaka na miaka,
Msipende sana story za vijiweni muwe mnatembelea lile jukwaa lao kule muone namna tunavyo waumbua Maana watu wengi mumekaririshwa sana ujinga, njooni kule tuwafumbue πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kweni mkuu ATCL linapata faida kiasi gani?
 
Atcl imefufuliwa lini?
Sijui mkuu ni lini ilifufuliwa maana hata kipindi cha jk ilikua na ndege moja isiyofanya kazi na ilikua na wafanya kazi 100 ambao walikua wanalipwa mshahara kama kawaida
 
😡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…