Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuda hao jamaa, sijui kama wanalalaCC: @Salaryslip swissme msichokipenda kinatokea
Amepatikana ndio.... vipi umeumia?Fundi wa ile bombadia iliyokufa injini amepatikana?
Au ndio popo wa mwanza wamepata pa kulala?
We mwehu kweli? niumie nini?Amepatikana ndio.... vipi umeumia?
Bila shaka hao ni wale wapinzani ambao tunawaona humu JF wakichukizwa na mafanikio ya ATCL.ni imani Mungu akipenda safari yangu ya ENTEBBE/BUJUMBURA nitaondoka na THE WING OF KILIMANJARO, kuna tatizo kwa mawakala wa ukataji ndenge kwa wafanyakazi wa serikali, mara nyingi nauliza lakini sipati jibu wanakukatia tiketi ya kenya /rwanda/ethiopa airlines angali TANZANIA AIR INA ROUTE ENEO HILO, WAHUSIKA FUATILIENI HILI
Inawezekana wewe ni miongoni mwa wale wanaosikia ATCl iko hewani wanaumia wakitamani ilale.We mwehu kweli? niumie nini?
Mtaombea sana ipaki!!
Bahati nzuri watengenezaji sio Chadema
HILI HALINA SIASA, WATANZANIA TUKITAKA KUFANIKIWA TUWE TAYARI KUONDOA TOFAUTI ZETU KWA NJIA HALALI ZILIZOWEKWA NA KATIBA.Bila shaka hao ni wale wapinzani ambao tunawaona humu JF wakichukizwa na mafanikio ya ATCL.
Mbili tu zinatosha kufanya safari za ndani na regional, fastjet walikuwa wanatumia ndege moja tu kuzunguka Tanzania nzima.Hivi ziko ngapi maana mara ipo katavi mara iende chato halafu india irudi entebe baadae bujumbura yaani ikimaliza tu hizo ruti tunaipaki mazima
Tofautisha jet na panga boiMbili tu zinatosha kufanya safari za ndani na regional, fastjet walikuwa wanatumia ndege moja tu kuzunguka Tanzania nzima.
Oh, naona nimeingilia mambo hapa.. kuna hatred ya nguvu humu. Ila ukiondoa mahaba na chuki utaelewa, turboprop ni nzuri kwa regional trips na nchi nyingi sana zinatumia kwa ajili ya safari za ndani na kanda.
Usalama wa Anga kuanzia lini ukaruhusu ndege mbovu?
Ndo nipo hapa mwanza niwatengenezee bombadia yenu,yaani watanzania mmeibiwa hii mnayoiita ndege mbona imefungwa injini ya PawatillaFundi wa ile bombadia iliyokufa injini amepatikana?
Au ndio popo wa mwanza wamepata pa kulala?
Ile mbona imesharekebishwa ilifungwa injini ya passo sasa,kwa maagizo toka juu tumefunga injni ya kirikuu angalau kidogoKwa ndege zipi au ni ule mzoga uliofia pale Mwanza?
Ile ndege ipo kama kipepeo kila baada ya km 10 lazima itue kujaza maji coz inachemsha hatariVipi lile mtumba la Dreamliner linaingia lini? hilo ndio linakuja kuifilisi nchi