Air Tanzania kuanza Safari za Bujumbura na Entebbe hivi karibuni!

Hivi ziko ngapi maana mara ipo katavi mara iende chato halafu india irudi entebe baadae bujumbura yaani ikimaliza tu hizo ruti tunaipaki mazima
Mtaombea sana ipaki!!
Bahati nzuri watengenezaji sio Chadema
 
Bila shaka hao ni wale wapinzani ambao tunawaona humu JF wakichukizwa na mafanikio ya ATCL.
 
Bila shaka hao ni wale wapinzani ambao tunawaona humu JF wakichukizwa na mafanikio ya ATCL.
HILI HALINA SIASA, WATANZANIA TUKITAKA KUFANIKIWA TUWE TAYARI KUONDOA TOFAUTI ZETU KWA NJIA HALALI ZILIZOWEKWA NA KATIBA.
 
kwa mujibu wa kamati ya bung atcl imepata hasara ya 100+% tangu 2016
inajiendsha kwa hasara
 
Hivi ziko ngapi maana mara ipo katavi mara iende chato halafu india irudi entebe baadae bujumbura yaani ikimaliza tu hizo ruti tunaipaki mazima
Mbili tu zinatosha kufanya safari za ndani na regional, fastjet walikuwa wanatumia ndege moja tu kuzunguka Tanzania nzima.
 
Tofautisha jet na panga boi

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Oh, naona nimeingilia mambo hapa.. kuna hatred ya nguvu humu. Ila ukiondoa mahaba na chuki utaelewa, turboprop ni nzuri kwa regional trips na nchi nyingi sana zinatumia kwa ajili ya safari za ndani na kanda.

Sio kila jambo muweke chuki, mnashindwa hata kujifunza basics.
 
Usalama wa Anga kuanzia lini ukaruhusu ndege mbovu?

Kwani hiyo iliyo Lala Mwanza ilikuwaje ?.Tunaambiwa Engine haifai so kama haifai Tatizo lake lilianzaje mpaka ikawa haifai kabisa ?.Si ina maana mlikuwa mnawabeba Watu na Ndege mbovu (spana mkononi).
 
Fundi wa ile bombadia iliyokufa injini amepatikana?
Au ndio popo wa mwanza wamepata pa kulala?
Ndo nipo hapa mwanza niwatengenezee bombadia yenu,yaani watanzania mmeibiwa hii mnayoiita ndege mbona imefungwa injini ya Pawatilla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…