MIMI BABA YENU
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 305
- 728
View attachment 1061353
Air Tanzania kuanzisha rasmi safari zake mkoani Iringa mapema tarehe 29 April. Safari hizo zitakua ni mara tatu kwa wiki yaani kila jumatano, ijumaa na jumapili.
IRINGA KAMWENEEEE
Dreamliner ilipowasili Mwezi julai 2018 ATCL walitangaza ingeanza kwenda India hadi China mwezi wa 9 halafu was 11, halafu wa 2, 2019, halafu wa 4 bado nangoja kwenda India. Wababaishaji hawa sijawahi ona!View attachment 1061353
Air Tanzania kuanzisha rasmi safari zake mkoani Iringa mapema tarehe 29 April. Safari hizo zitakua ni mara tatu kwa wiki yaani kila jumatano, ijumaa na jumapili.
IRINGA KAMWENEEEE