Air Tanzania kuanzisha rasmi safari zake mkoani Iringa mapema tarehe 29 April

Air Tanzania kuanzisha rasmi safari zake mkoani Iringa mapema tarehe 29 April

MIMI BABA YENU

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2019
Posts
305
Reaction score
728
1061353

Air Tanzania kuanzisha rasmi safari zake mkoani Iringa mapema tarehe 29 April. Safari hizo zitakua ni mara tatu kwa wiki yaani kila jumatano, ijumaa na jumapili.

IRINGA KAMWENEEEE
 
Kamilisha taarifA mkuu...kwani unawahi wapi!??
 
View attachment 1061353

Air Tanzania kuanzisha rasmi safari zake mkoani Iringa mapema tarehe 29 April. Safari hizo zitakua ni mara tatu kwa wiki yaani kila jumatano, ijumaa na jumapili.

IRINGA KAMWENEEEE
Dreamliner ilipowasili Mwezi julai 2018 ATCL walitangaza ingeanza kwenda India hadi China mwezi wa 9 halafu was 11, halafu wa 2, 2019, halafu wa 4 bado nangoja kwenda India. Wababaishaji hawa sijawahi ona!
 
Back
Top Bottom