Tetesi: Air Tanzania kuanzisha safari za Dar-Amsterdam/Hague kuanzia 2026

Sijui sababu ya kwenda Amsterdam ni nini wakati tayari KLM inakuja KIA na Zanzibar

Wangeanza safari za Frankfurt/Munich au Berlin na kuwa na makubaliano na Lufansa kuchukua watalii wa Europe kuwaleta Tanzania

Pia kuwa na regional flights (from Kinshasa, Kigali, Bujumbura) kwenda Zanzibar to feed Air France

Sehemu nyingine za kuweka kipaumbele ni Indonesia na Vietnam
 
Saabu ya kwemda Amsterdam ni moja tu, KUHUDHURIA MSALA🤣🤣🤣🤣
 
Sijui sababu ya kwenda Amsterdam ni nini wakati tayari KLM inakuja KIA na Zanzibar

Wangeanza safari za Frankfurt/Munich au Berlin na kuwa na makubaliano na Lufansa kuchukua watalii wa Europe kuwaleta Tanzania

Pia kuwa na regional flights (from Kinshasa, Kigali, Bujumbura) kwenda Zanzibar to feed Air France

Sehemu nyingine za kuweka kipaumbele ni Indonesia na Vietnam

Amsterdam ni moja ya biggest hub Ulaya, duniani. It makes sense pale unaconnect ndege kwenda popote duniani.
 
KLM hawezi kukupa wateja wakati tayari ana makubaliano na KQ

Amsterdam ni kama Dubai, Doha Kituo kikuu cha ndege. Ukifika pale unaunganisha safari popote duniani.

Huhitaji kuchukua wateja wa KQ, ili kufika unapokwenda.
 
Naona bado hujanielewa. KLM na KQ wana JV ya Codesharing na wote wapo Skyteam

Abiria wanaenda Amsterdam for connection sio final destination, priority ya connection ukiwa Amsterdam ni Skyteam member airlines.

Air Tz sio Skyteam member, ila anaweza akaomba kuingia Star Alliance (with the likes of Egypt air, Singapore, turkish, Luthfansa etc.) then akaanza kwenda Frankfurt.

As long as Luthfansa hajaanza kuja Tanzania, kuna soko kubwa la Europe linapitia Frankfurt. Hata abiria wa Canada unaweza kuwapata from Frankfurt cz Air Canada ni StarAlliance na anaenda Frankfurt. Same thing kwa abiria wanaotoka US cities. Nchi nyingi za Eastern Europe zinaenda Frankfurt, hata hizo horticulture ni rahisi kupata soko.

Ujerumani pia haiweki sana siasa mbele kama Uholanzi so risk ni ndogo zaidi.
 
Back
Top Bottom