Hiyo route ina raia kibao, wahindi wanaopiga mishe bongo, wanafunzi wa vyuo, business people, watu wanaofuata matibabu kumbuka tuta wazoa wengine kutoka Bujumbura na Entebbe. Hiyo route tuta toboa, ukilegeze hivyo vigezo vya kusafiri vya wafanyakazi haina maana wote wata enda India.Walegeze kidogo mashart ya wafanyakazi wa serikali kwenda nje ya nchi ili iongeze wateja
Kusingekuwa na zuio wangekuwa zaidiMbona wanakuja kwa wingi tu huku ughaibuni??
Salute kwako mzee baba umeonesha upendo na ukomavu wa hali juu umenifanya nifikirie hata hizi battle za TZ na KE ni kwaajiri ya kujenga zaidi na sio ugomviHongera kwa ATCL, very very nice move!
But not cheap like fling toilet 🚽 from place to place around nairobiThat's dirt cheap!!!
धन्यवाद तंजानिया सरकार
Step by step nadhan baada ya miaka mitano shirika litakuwa limebadilikaNi haki yake Ilo dege la masafa kabisa..waendelee kujipambanua niliona Dec wataanza kwenda harare na Johannesburg OR tambo inter airport daah taratibu tu tulilala mno
Kwakweli hii fare ni fair sanaDar es Salaam to Mumbai will be thrice a week at a friendliest fare.
For more info.
View attachment 859910
Spot on, uko sahihi kabisa.धन्यवाद तंजानिया सरकार
আমরা এখানে যাইआपका बहुत बहुत धन्यवाद