Air TANZANIA launches a Non Stop Mumbai Fly

Air TANZANIA launches a Non Stop Mumbai Fly

eliakeem

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2009
Posts
17,214
Reaction score
15,853
Dar es Salaam to Mumbai will be thrice a week at a friendliest fare.
For more info.

IMG-20180907-WA0006.jpg
 
Walegeze kidogo mashart ya wafanyakazi wa serikali kwenda nje ya nchi ili iongeze wateja
Hiyo route ina raia kibao, wahindi wanaopiga mishe bongo, wanafunzi wa vyuo, business people, watu wanaofuata matibabu kumbuka tuta wazoa wengine kutoka Bujumbura na Entebbe. Hiyo route tuta toboa, ukilegeze hivyo vigezo vya kusafiri vya wafanyakazi haina maana wote wata enda India.
 
Back
Top Bottom