Air Tanzania Revives Dar Johannesburg flights, full board.

Air Tanzania Revives Dar Johannesburg flights, full board.

Mambo matamu na abiria nao ni wa kumwaga

Kuna wale watu husema ATCL hazina Abiria pia watazeme hiyo nyomi.
Na pia kitu nimependa ni Mkakati wa Kibiashara wa ATCL, Very strategic. Sio tu kukomaa na route ambazo hata hazimake sense kwa sababu ya Kutafuta sifa.
 
Kweli kabisa, yule MD wa Airtanzania ni mzoefu wa hii industry kwenye International Airlines. Tupo vizuri
 
Kuna wale watu husema ATCL hazina Abiria pia watazeme hiyo nyomi.
Na pia kitu nimependa ni Mkakati wa Kibiashara wa ATCL, Very strategic. Sio tu kukomaa na route ambazo hata hazimake sense kwa sababu ya Kutafuta sifa.
Kama ile yetu ya New York ya kwenda na abiria 5. sasa Atcl wajipange kwenda Nairobi Soko lipo
 
Question, what airline feeds into jnia so as to make the route viable or you solely relaying on tzian?I don't see a Kenyan Ethiopian ugandan Rwandan etc opting for jnia over bole jkia where the can connect easily or fly directly to Jo'burg.
 
Good morning wachawi wa Tanzania.
FB_IMG_1561727571508.jpeg
 
Question, what airline feeds into jnia so as to make the route viable or you solely relaying on tzian?I don't see a Kenyan Ethiopian ugandan Rwandan etc opting for jnia over bole jkia where the can connect easily or fly directly to Jo'burg.
Aliekuelewa unachomaanisha atanisaidia sababu nimesoma zaidi ya mara 5 naona maruweruwe tu
 
Kama ile yetu ya New York ya kwenda na abiria 5. sasa Atcl wajipange kwenda Nairobi Soko lipo

Nairobi nadhani ipo kwenye plan za mbeleni sana,
Nadhani wameanza kutafuta hizi feeders kwanza, Tukipokea Airbus nyingine mbili na Hiyo Bomberdier na Boeing 787 December tutakuwa kwenye Nafasi nzuri sasa kuanza Flights za Johanesburg, Harare, Lusaka, Entebe, Bujumbura -China/India/Thailand Via Dar es Salaam,
Hapo tutakuwa na customer base nzuri kuanza Dar Nairobi, Adis n.k
 
Tough business n we wish you well but if the intention is to suffocate kq to death then you'll fail miserably..
Sidhan kama ATC ina plan za kuisuffocate KQ..KQ wako kwenye bznc kitambo...sisi tunajarbu kushukua share zetu .
kumbuka
South African airways inakuja kama 10times a week to Dar na hapo ina charge Dola kama 500 kwa flight sio return

Kuna watu wanaenda SA kutumia KQ na Rwand Air wakiogopa Bei Ya SAA

This is very startegic route ..na itatupa profit...

Itakuwa ina above 70% load factor

Na tutatumia Most fuel effcient narrow body aircraft in the world A220 more profitable than the profit hunter itself Embraer E190 E2 dubbed the profit hunter

So ni Air Tanzania kuwa serious na kuwa ontime
 
Back
Top Bottom