Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mdogo mdogo tuna tanua mbawa hata Dubai tutafika, tupe muda shirika bado changaBiashara ya kupeleka mbuzi Dubai na 787 imefia wapi?
Mambo matamu na abiria nao ni wa kumwaga
Tough business n we wish you well but if the intention is to suffocate kq to death then you'll fail miserably..KQ wanazidi kuisoma number, bado Mumbai tunakata mirija yote ya KQ ili tuheshimiane
Kweli kabisa, yule MD wa Airtanzania ni mzoefu wa hii industry kwenye International Airlines. Tupo vizuriKuna wale watu husema ATCL hazina Abiria pia watazeme hiyo nyomi.
Na pia kitu nimependa ni Mkakati wa Kibiashara wa ATCL, Very strategic. Sio tu kukomaa na route ambazo hata hazimake sense kwa sababu ya Kutafuta sifa.
Kama ile yetu ya New York ya kwenda na abiria 5. sasa Atcl wajipange kwenda Nairobi Soko lipoKuna wale watu husema ATCL hazina Abiria pia watazeme hiyo nyomi.
Na pia kitu nimependa ni Mkakati wa Kibiashara wa ATCL, Very strategic. Sio tu kukomaa na route ambazo hata hazimake sense kwa sababu ya Kutafuta sifa.
Aliekuelewa unachomaanisha atanisaidia sababu nimesoma zaidi ya mara 5 naona maruweruwe tuQuestion, what airline feeds into jnia so as to make the route viable or you solely relaying on tzian?I don't see a Kenyan Ethiopian ugandan Rwandan etc opting for jnia over bole jkia where the can connect easily or fly directly to Jo'burg.
Usifananishe KQ na vitu vya kipuuzi kama Any Time Cancellation Limited(ATCL).KQ wanazidi kuisoma number, bado Mumbai tunakata mirija yote ya KQ ili tuheshimiane
Kama ile yetu ya New York ya kwenda na abiria 5. sasa Atcl wajipange kwenda Nairobi Soko lipo
Sidhan kama ATC ina plan za kuisuffocate KQ..KQ wako kwenye bznc kitambo...sisi tunajarbu kushukua share zetu .Tough business n we wish you well but if the intention is to suffocate kq to death then you'll fail miserably..
50+ years on the game, ndege 3 kibindoniUsifananishe KQ na vitu vya kipuuzi kama Any Time Cancellation Limited(ATCL).
![]()
Usifananishe KQ na vitu vya kipuuzi kama Any Time Cancellation Limited(ATCL).
![]()