Air Tanzania Revives Dar Johannesburg flights, full board.

Usifananishe KQ na vitu vya kipuuzi kama Any Time Cancellation Limited(ATCL).
Watanzania wanaweza wakaku.etea mganga wa kienyeji na wakakuambia ni daktari bingwa wa ubongo na ukakubal8 wape miezi miwili utawona wameyeyuka wote
 
Hivi wataendelea kubeba waandishi na viongozi ili kupata nyomi? Ni suala la muda tu

Wewe hujawahi panda ndege,
Jikusanye mwanangu, walau 150K upande uone kama kuna wanasiasa humo.
 
Wewe hujawahi panda ndege,
Jikusanye mwanangu, walau 150K upande uone kama kuna wanasiasa humo.
Bahati mbaya tunaficha Identity zetu humu.Watu tumeanza kutumia passport zilizoandikwa kwa mkono tukipita Ma airport makubwa huko duniani halafu wewe unaulizia kupanda ndege.Eti nauli 150K labda hivi vibatavuzi vyenu ,watu tunazungumzia ma Airbus 380 Dubai to Sydney
 
Mimi natoa ushauri mdogo tu kwa Air Tanzania na natumaini kuna mtu atasoma. Sitaki kubeza kuwa na ndege au hapana hilo ni jambo tofauti. ndege tunazo na za kwetu tuzitunze na tuna nafasi ya kuwa kibiashara tukiwa makini. Leo natoa vitu viwili tu vidogo lakini muhimi. Tuheshimu time tukisema saa 1 basi iwe saa 1 hakuna sababu ya kudelay airport yetu sio busy kihivyo. jambo la pili watu wanaokaa mikoani kama mfano mtu anasafiri kwenda SA au Uganda yeye yuko Mbeya au mkoa wowote ni ananunua ticket moja tu toka Mbeya to Johannesburg kwa gharama ileile hii itavuta watu kirahisi isiwe tena mtu anakata ticket 2 vitu vidogo lakini vitafanya watu watumie ndege zetu hasa wateja wa mikoani.
 
Boeing Ni safari za Mumbai July 17 na hata ivyo dreamliner ingine itafika Bongo Dec 2019
 
Lini ulisafiri kutokea mkoani kwenda nje ya nchi ukakata tiketi mara mbili
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ingekua ni hivyo ningerekebisha ila ndo hivyo tena
Naona ndege mbili zikiruka johanesburg,harare,china,india,nairobi,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Lini ulisafiri kutokea mkoani kwenda nje ya nchi ukakata tiketi mara mbili
Sijasema nimesafiri maana hiyo route ndio kwanza imeanza jana nimetoa maoni tu kama wanafanya hivyo ni jambo zuri kama hawafanyi hivyo wafanye na ndio nilivyosema hakuna sehemu nimesema nimekata ticket. mtu akitoa maoni kama ndio yanafanywa hivyo ni jambo zuri hakuna ugomvi. nimatumaini kuona ticket ya Mwanza to SA na Ticket ya Dar to SA same price kama ndio hivyo basi wako step mbele na mwanzo mzuri. bei zikiwa tofauti ni yale yale kama 2 tickets
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…