Fisherscom
JF-Expert Member
- Mar 13, 2008
- 1,763
- 766
Hata mchicha tutapeleka tu mkuuBiashara ya kupeleka mbuzi Dubai na 787 imefia wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mchicha tutapeleka tu mkuuBiashara ya kupeleka mbuzi Dubai na 787 imefia wapi?
Watanzania wanaweza wakaku.etea mganga wa kienyeji na wakakuambia ni daktari bingwa wa ubongo na ukakubal8 wape miezi miwili utawona wameyeyuka woteUsifananishe KQ na vitu vya kipuuzi kama Any Time Cancellation Limited(ATCL).
![]()
Kwani umelazimishwa kupanda au unawashwa
Hahahah kubwa jinga umepanicNa wewe unawashwa nini na maamuzi binafsi ya watu?
Hela ya kununua tiketi umenipa wewe?
Mbuzi wewe!
Hahahah kubwa jinga umepanic
Bahati mbaya tunaficha Identity zetu humu.Watu tumeanza kutumia passport zilizoandikwa kwa mkono tukipita Ma airport makubwa huko duniani halafu wewe unaulizia kupanda ndege.Eti nauli 150K labda hivi vibatavuzi vyenu ,watu tunazungumzia ma Airbus 380 Dubai to SydneyWewe hujawahi panda ndege,
Jikusanye mwanangu, walau 150K upande uone kama kuna wanasiasa humo.
Jinga ni wewe unavamia maamuzi binafsi ya watu binafsi ambao hawakuhusu!
Stop TMZ an’ sh1t!
Watz wengi walikua wanalazimika kuja NBO ili waende Jozi, abiria wengi mmeshapoteza apoUsifananishe KQ na vitu vya kipuuzi kama Any Time Cancellation Limited(ATCL).
![]()
Kipi bora, route chache zitakazoleta faida au route nyingi zitakazoleta hasara [emoji23][emoji23][emoji23]
Chache zinazoleta pesaATCL iko na route chache ambazo zinaleta hasara... na hasira.
Dont start nuttin',won't be nuttin'!Relax kubwa jinga
Lini ulisafiri kutokea mkoani kwenda nje ya nchi ukakata tiketi mara mbiliMimi natoa ushauri mdogo tu kwa Air Tanzania na natumaini kuna mtu atasoma. Sitaki kubeza kuwa na ndege au hapana hilo ni jambo tofauti. ndege tunazo na za kwetu tuzitunze na tuna nafasi ya kuwa kibiashara tukiwa makini. Leo natoa vitu viwili tu vidogo lakini muhimi. Tuheshimu time tukisema saa 1 basi iwe saa 1 hakuna sababu ya kudelay airport yetu sio busy kihivyo. jambo la pili watu wanaokaa mikoani kama mfano mtu anasafiri kwenda SA au Uganda yeye yuko Mbeya au mkoa wowote ni ananunua ticket moja tu toka Mbeya to Johannesburg kwa gharama ileile hii itavuta watu kirahisi isiwe tena mtu anakata ticket 2 vitu vidogo lakini vitafanya watu watumie ndege zetu hasa wateja wa mikoani.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mafikra finyu "Nairobi nadhani ipo kwenye plan za mbeleni sana,
Nadhani wameanza kutafuta hizi feeders kwanza, Tukipokea Airbus nyingine mbili na Hiyo Bomberdier na Boeing 787 December tutakuwa kwenye Nafasi nzuri sasa kuanza Flights za Johanesburg, Harare, Lusaka, Entebe, BujumburaChina/India/Thailand Via Dar es Salaam,
Hapo tutakuwa na customer base nzuri kuanza Dar Nairobi, Adis n.k" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndege 3 zitaruka huko kwote kwani ziko omnipresent?? Ama ni kucopy Ndege 3 za KQ?
Naona ndege mbili zikiruka johanesburg,harare,china,india,nairobi,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] ingekua ni hivyo ningerekebisha ila ndo hivyo tena
Sijasema nimesafiri maana hiyo route ndio kwanza imeanza jana nimetoa maoni tu kama wanafanya hivyo ni jambo zuri kama hawafanyi hivyo wafanye na ndio nilivyosema hakuna sehemu nimesema nimekata ticket. mtu akitoa maoni kama ndio yanafanywa hivyo ni jambo zuri hakuna ugomvi. nimatumaini kuona ticket ya Mwanza to SA na Ticket ya Dar to SA same price kama ndio hivyo basi wako step mbele na mwanzo mzuri. bei zikiwa tofauti ni yale yale kama 2 ticketsLini ulisafiri kutokea mkoani kwenda nje ya nchi ukakata tiketi mara mbili