fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,071
Hongera ATCL hongera JPM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wanasafiri kila siku...nyinyi nmpka uingojee iregee darWatz wengi walikua wanalazimika kuja NBO ili waende Jozi, abiria wengi mmeshapoteza apo
Haukati ticket mbili boss ni moja tu ..kama unavyona hapoSijasema nimesafiri maana hiyo route ndio kwanza imeanza jana nimetoa maoni tu kama wanafanya hivyo ni jambo zuri kama hawafanyi hivyo wafanye na ndio nilivyosema hakuna sehemu nimesema nimekata ticket. mtu akitoa maoni kama ndio yanafanywa hivyo ni jambo zuri hakuna ugomvi. nimatumaini kuona ticket ya Mwanza to SA na Ticket ya Dar to SA same price kama ndio hivyo basi wako step mbele na mwanzo mzuri. bei zikiwa tofauti ni yale yale kama 2 tickets
Hahahahaha, sisi sio kama ninyi, 50years of service, lakini hadi Leo mna ndege 3 unategemea ndege za kukodisha.Naona ndege mbili zikiruka johanesburg,harare,china,india,nairobi,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yes lakini ukiangalia bei na kutoka Dar utakuwa wanakucharge kabisa ya Mwanza to Dar. Nimeangali moja ya Dodoma to SA ni 581K Tsh na kutokea Dar ni 459kTsh kwa maana nyingine unalipia domestic flight sasa kushika route ni kufanya mikoani kama feeder bure technical lakini ni business au hata kama tofauti basi ndogo sana.Haukati ticket mbili boss ni moja tu ..kama unavyona hapo View attachment 1142094
Naona unajichekesha kw huzuni...bwahahaaa...watu wakula albino ndio wana mipango ya kwenda mars....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahahaha, sisi sio kama ninyi, 50years of service, lakini hadi Leo mna ndege 3 unategemea ndege za kukodisha.
Mfano mdogo EK wanatumia ikiwa unatoka Dar unaenda USA unaweza kuta bei ni sawa unatoka Dubai to USA. Kwa kufikiria haraka unaweza kusema Dar to USA itakuwa ghali kuliko Dubai to USA lakini Dar ni kama feeder tu.Yes lakini ukiangalia bei na kutoka Dar utakuwa wanakucharge kabisa ya Mwanza to Dar. Nimeangali moja ya Dodoma to SA ni 581K Tsh na kutokea Dar ni 459kTsh kwa maana nyingine unalipia domestic flight sasa kushika route ni kufanya mikoani kama feeder bure technical lakini ni business au hata kama tofauti basi ndogo sana.
Vipi kuhusu producers and exporters of terrorists in Africa, ambao hadi Leo wanabaguana na kuuwana kwa misingi ya ukabila na maeneo wanayotoka?Naona unajichekesha kw huzuni...bwahahaaa...watu wakula albino ndio wana mipango ya kwenda mars....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vp ebola...bado unaitamani mpka sasa
Kutoka Dubai to Newyork one way ni 1070$ na kutoka Dar to Newyork one way ni 992$ ni rahisi kuliko kutoka Dubai na ndege inakuchukuwa toka Dar to Dubai halafu kwenda Newyork. kwa kufikiria haraka utasema kama kutoka Dubai ni 1000 basi ngapi kutoka Dar to Dubai labda 500$ itakuwa 1500$ lakini kinyume kutoka Dar ni rahisi hii kushika wateja. Ndio nilikuwa nataka Air Tz ticket za kutoka mikoani ziwe same price kama unatoka Dar kwenda SA. sio wanachukuwa bei ya Dar to SA halafu wana add ya kutoka Mwanza hiyo sio ndio maoni yangu sio sawa.Haukati ticket mbili boss ni moja tu ..kama unavyona hapo View attachment 1142094
Si we umesema heri ebola kuliko wakenya...kwhyo bado waitamani ama?...ukipinga naleta mpka screenshot ..yani ile comment naihifadhi hyo siku ujichanganye na unafiki..nakupiga nayo ya usoVipi kuhusu producers and exporters of terrorists in Africa, ambao hadi Leo wanabaguana na kuuwana kwa misingi ya ukabila na maeneo wanayotoka?
Nafuu Ebola can be controlled and eradicated but not tribalism.Si we umesema heri ebola kuliko wakenya...kwhyo bado waitamani ama?...ukipinga naleta mpka screenshot ..yani ile comment naihifadhi hyo siku ujichanganye na unafiki..nakupiga nayo ya uso
Kwhyo we utapona...duh!!jamaa dua zngne si za kujiombea...we tubu tu...Nafuu Ebola can be controlled and eradicated but not tribalism.
Nafuu Ebola can be controlled and eradicated but not tribalism.
What about terrorism, if you suffer from tribalism and terrorism, what else do you have as a country?Tribalism can be made positive. Cannibalsim and attack of Albinos is a satanic gene that only exits in Danganyikans
Bahati mbaya tunaficha Identity zetu humu.Watu tumeanza kutumia passport zilizoandikwa kwa mkono tukipita Ma airport makubwa huko duniani halafu wewe unaulizia kupanda ndege.Eti nauli 150K labda hivi vibatavuzi vyenu ,watu tunazungumzia ma Airbus 380 Dubai to Sydney
Mimi natoa ushauri mdogo tu kwa Air Tanzania na natumaini kuna mtu atasoma. Sitaki kubeza kuwa na ndege au hapana hilo ni jambo tofauti. ndege tunazo na za kwetu tuzitunze na tuna nafasi ya kuwa kibiashara tukiwa makini. Leo natoa vitu viwili tu vidogo lakini muhimi. Tuheshimu time tukisema saa 1 basi iwe saa 1 hakuna sababu ya kudelay airport yetu sio busy kihivyo. jambo la pili watu wanaokaa mikoani kama mfano mtu anasafiri kwenda SA au Uganda yeye yuko Mbeya au mkoa wowote ni ananunua ticket moja tu toka Mbeya to Johannesburg kwa gharama ileile hii itavuta watu kirahisi isiwe tena mtu anakata ticket 2 vitu vidogo lakini vitafanya watu watumie ndege zetu hasa wateja wa mikoani.
Kajifunze kiswahili kwanza ndio uje uandike humu.Ndio maana nimesema wewe hujawahi panda ndege.
Wacha ujinga mavi ya kuku wewe ,KQ in route nyingi zaidi sababu JKIA ni uwanja unatumiwa na masharika mengi dunia na ina abiria zaidi kuliko JNIA hapo kwenu.Plus Nairobi Kenya is more connected to the world economy than Tz ndio sababu tuna abiria zaidi.Kipi bora, route chache zitakazoleta faida au route nyingi zitakazoleta hasara [emoji23][emoji23][emoji23]
Umejibu kimuhemuko bila kujua ni nini Kiliandikwa hapo [emoji23][emoji23][emoji23]Wacha ujinga mavi ya kuku wewe ,KQ in route nyingi zaidi sababu JKIA ni uwanja unatumiwa na masharika mengi dunia na ina abiria zaidi kuliko JNIA hapo kwenu.Plus Nairobi Kenya is more connected to the world economy than Tz ndio sababu tuna abiria zaidi.
Je kama usipoelewa sentensi ndogo hivi ni mambo makubwa ya biashara ya ndege utaweza ? Nyie mwapata mashirika machache ya ndege za kimataifa hivyo ni kumaanisha ATCL itapata few feeder airlines na abiria pia which makes Air Tz business less viable.Aliekuelewa unachomaanisha atanisaidia sababu nimesoma zaidi ya mara 5 naona maruweruwe tu