Air Tanzania Revives Dar Johannesburg flights, full board.

Air Tanzania Revives Dar Johannesburg flights, full board.

Je kama usipoelewa sentensi ndogo hivi ni mambo makubwa ya biashara ya ndege utaweza ? Nyie mwapata mashirika machache ya ndege za kimataifa hivyo ni kumaanisha ATCL itapata few feeder airlines na abiria pia which makes Air Tz business less viable.
We're about to deploy 5 brand new aircrafts of different specifications which gonna expand our fleet and give us the perfect flow chain to serve the bigger promising market, its a road map which going to be viable in the next three years. We decided to take back our regional glory, we were the engine of the late East African Airlines before you looted it and we gonna prove that.

Focus on our pace.
 
Kutoka Dubai to Newyork one way ni 1070$ na kutoka Dar to Newyork one way ni 992$ ni rahisi kuliko kutoka Dubai na ndege inakuchukuwa toka Dar to Dubai halafu kwenda Newyork. kwa kufikiria haraka utasema kama kutoka Dubai ni 1000 basi ngapi kutoka Dar to Dubai labda 500$ itakuwa 1500$ lakini kinyume kutoka Dar ni rahisi hii kushika wateja. Ndio nilikuwa nataka Air Tz ticket za kutoka mikoani ziwe same price kama unatoka Dar kwenda SA. sio wanachukuwa bei ya Dar to SA halafu wana add ya kutoka Mwanza hiyo sio ndio maoni yangu sio sawa.
Anha nmekuelewa mkuu hilo kweli ni la maana..ila kumbuka pia hili shirika ni changa kwahyo lazma kidog watafute hela..sio kama labda emirates amabayo inaweza recover route nyingine...

Cha pili sio kwamba bei wanayocharge inakuwa ni ya ticket mbili bali wanaongeza kidog ..mfano utalipa labda 100k nyongeza kama unatokea nje ya dar which of coz its not fair kwa sas hiv...i hope in future itabadilika
 
Unajuwa udogo wa shirika ndio fursa ya kuwavutia wateja hata kama litaenda kwa hasara kidogo kwa muda fulani lakini kujenga uaminifu na wateja na watu wakishavutiwa na shirika hata ukija kupandisha taratibu watu kimya sababu mapenzi yatakuwa yametawala ndio maana kuna tofauri nauli ikiandikwa 299$ na 310$ mtu anavutwa na ile 99 anaamini rahisi kumbe ni dola 11 tu tofauti. Biashara na ndege ngumu inahitaji maarifa ya muda mrefu tukubali hasara kidogo kwa faida ya muda mrefu.
 
Mbona hamtupi picha ya Tafrija kidogo ya kuzindua route mliyofanya hapo Oliver Tambo ?
 
Wanasiasa, viongozi na wanahabari hawakuwemo kwenye trip hii sababu demand for seats was high
Acha kunijibu kikamongo mkuu ,Route mpya ilikuwa inafunguliwa lazima wawepo delegates kadhaa ikiwamo balozi wa Tanzania Afrika ya kusini ...

Ndege iliondoka na CEO wa ATCL sasa naomba picha ya tafrija fupi ya kufungua hiyo route mpya hapo Oliver Tambo .
 
Ninazo baadhi ya picha kweney simu, kuna article pia iliyochapishwa na News24 with some photos...

Mhhh ni picha zipi unaongelea Mkuu ?

Sipendi kufungua links mkuu kama hutojali naomba u upload hizo ulizo nazo kwenye simu

NB Picha za delegates wetu wakigonga champagne Oliver Tambo baada ya route mpya kufunguliwa
 
Kama huwezi hata kufungua link itakua ngumu...anyways nikipata mda wa ku-upload nitafanya hivyo.

Sio siwezi kufungua link bali sitaki kwa sababu links zina mambo yake....wewe kama picha unazo unaona ugumu gani kuiweka humu ?

Kwani inahitaji nini kuweka picha humu mpaka useme ukipata muda ?

Noamba tu picha ya delegates wetu wakiwepo kwenye tafrija fupi ya kuzindua route hiyo
 
Acha kunijibu kikamongo mkuu ,Route mpya ilikuwa inafunguliwa lazima wawepo delegates kadhaa ikiwamo balozi wa Tanzania Afrika ya kusini ...

Ndege iliondoka na CEO wa ATCL sasa naomba picha ya tafrija fupi ya kufungua hiyo route mpya hapo Oliver Tambo .

Kwanza kuna vitu ulipaswa uelewe kuhusu hii route sio mpya kwa ATCL kama unavyosema wewe route ilikuwepo na ilikuwa suspended kwa muda sasa imekuwa revived hence sio route mpya as such. Kama shida yako ni picha utazipata maana hayo siyo mambo ya msingi kwa sasa.
 
Naona umetema povu...[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]route yenye ndege moja[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndege moja haibebi abiria? Hao abiria walikuwa wanachukuliwa na KQ, sasa wanaenda na Airtanzania
 
Back
Top Bottom