Air Tanzania signs MOU with Russia's Irkut over MC-21


Mkuu..that was a joke

Try to have some sense of humor
 
Jamani wa Tz mbona kwenu kila kitu mnapinga?
Mta mwamini nani? Au mnataka expertriates watuamulie?
Kwa ushindani mzuri tusige kila kitu.
Wacha nasi tuanze na wengine waige.
Twende na MC- 21
Nimekuelewa vizuri mkuu
 
Bongo kila mtu ana cheo cha urubani pamoja na kuwa aircraft engineer.

Kama huamini soma comments za watu humu.
JKT tuliwaita wabangaizaji, wakiitwa madaktari wamo wakiitwa bwanashamba wanajitokeza wakiitwa marubani nao wanakuwemo. sikumoja afande mwakatumbura aliwaita marubani nusu ya kombania wakajitokeza kufika HQ akawagawia mashoka waanze kukata magogo na kuchanja kuni.
 
wale wa congo maintenance ya ndege zao nadhani ndo kinachowasumbua pia mindege yao pia mingi ya zamani sana
ndege zinazodondoka congo ni za warusi wapeleka cargo,na inasababishwa na viwanja vya hovyo vilivyopo congo
 
wenzetu wa wanapurchase maboeing na maairbus sie tunakomaa na vindege ambavyo havieleweki afu tuingie kwenye ushindani nao! ofcoz sie watu wa vibovu mv daressalaam, mabehewa ya treni,nk
Naomba kujua lini umepanda hata hivyo vindege.....unavyoviita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…