Air Tanzania signs MOU with Russia's Irkut over MC-21

Air Tanzania signs MOU with Russia's Irkut over MC-21

wenzetu wa wanapurchase maboeing na maairbus sie tunakomaa na vindege ambavyo havieleweki afu tuingie kwenye ushindani nao! ofcoz sie watu wa vibovu mv daressalaam, mabehewa ya treni,nk
Zinashindana na airbus mkuu usihofu
 
Mkuu MC 21binashindana kabisa na boeing na air bus...
 
Attachments

  • images-22.jpeg
    images-22.jpeg
    8.9 KB · Views: 108
  • images-52.jpeg
    images-52.jpeg
    6.5 KB · Views: 101
Kuwa mkweli, kiwanda cha Antonov kipo Ukraine lakini walishirikiana kui-design kwa masuala ya space exploration kutokana na ushindani baina ya USSR na USA ndege hiyo ilitumika mahususi kubebea space shuttle za Urusi kwebda kwenye majaribio, baada ya project ya space shuttle kusitishwa ndege hiyo ilitumiwa kubeba mizigo mizito, wanajeshi na zana za kivita kabla USSR haija sambaratika - repeat it was a joint project baina ya wanasayansi na ma engineer wa Ukraine na Russia Federation for transporting space shuttle space exploration - Russia Federation playing a pivotal role.
100% maelezo yako yapo sawa.
Ila kwa sasa ndege sio ya Russia ni ya Ukrain.
 
Kama ni kweli basi nawashangaa sana serikali pamoja na hao ATCL.Hii ndege wala haijafanyiwa certifications mbalimbali na hakuna hata moja iliyokuwa tayari kwa majaribio .una uhakika gani ita meet hizo specifications zetu ? katika category ya ndege za abiria 120 mpaka 200 hakuna ndege bora kama Boeing 737-800/900 na Airbus A320/321.Yaani wangesema labda wanaagiza Bombadier CS300 ambayo ni category hiyo na ni ndege mpya kutoka na bei nafuu kwani imepasi certification tests zote.Kwenye Aviation tusidanganyane Wazungu wa magharibi wako vizuri.Russia wana ndege moja ya maana Superjet 100 na wameshindwa kui market sabau ya vikwazo vya kimataifa.Aeroflot kwenywe kumejaa Maboeing.Waanze kuzitumia wao kwanza
Bro Salute!!!!
Aeroflot ya Russia ina ndege za kigeni.
 
mi uwa nachek san kuhusu nyie wapenz wa usa,yani mnaonyesh mahaba kupitiliz.juzi mlikuja na mada kuwa marekani alinunua ndege za urusi ili akope technology,leo mnasema kuw ndeg za urusi ni saw na simu ya kichina.kwa iyo marekani alikopi mchina

teh! teh! sema ujijui tu, wewe ni mnazi wa russia hadi kinyaa, yan uko kama mwehu juu ya russia
 
wenzetu wa wanapurchase maboeing na maairbus sie tunakomaa na vindege ambavyo havieleweki afu tuingie kwenye ushindani nao! ofcoz sie watu wa vibovu mv daressalaam, mabehewa ya treni,nk

Mkuu nenda kwanza google ukajue ni ndege yenye uwezo kiasi gani hiyo, sio uungwana kukosoa tu jambo bila kuwa na ufaham nalo kiundani.
 
Mkuu nenda kwanza google ukajue ni ndege yenye uwezo kiasi gani hiyo, sio uungwana kukosoa tu jambo bila kuwa na ufaham nalo kiundani.

uwezo wa ndege hauko google aisee! hata hizo zinazodondokadondoka ukienda google hutoona wameandika ni 'mbovu huwa zinadondokadondoka'
 
logically for those who try to think,hizi MC21 zinatarajiwa kuingizwa sokoni mwishoni mwa 2017 au mwanzoni mwa 2018.kusaini MoU hakumaanishi kwamba ndio tunanunua sasa hivi!inamaanisha kwamba iwapo hizi ndege zitakamilika with all certifications(sasa hivi wameshapata certification ya PW1400G-JM engine ambayo ndio inatumika kwenye Irkut’s MC-21 aircraft) basi na sisi tunaweza kuwa wanunuzi pamoja na SA ambao wameplace na wenyewe kama hizi 40.

Our plan is to buy two Dash 8-400s along with an EMB-170 and an EMB-190 though these have yet to be confirmed.hizi zinahitajika kabla ya mwishoni mwa mwaka huu.
 
Wabongo bwana, brain washed kweli kweli!!
Kajishirika kenu kenyewe chali alafu mnadai "ooh akanunue Airbus" mnajua bei yake?!!
Tangu western media iwateke akili na kuwaambia ndege za Urusi zinadondoka hovyo na nyie mkawa kama mbogo mbio kuvuka mto!! Mnataka kusema kwamba Boeing na Airbus hazianguki?!
Au vile vijarida vya "Monthly B&C Aircrafts" na "Janes Weekly Defence" ndio vinawateka akili kihivyo?!

Leteni hizo za Mrusi, tuwe na maintenance ya maana muone raha yake. Na kama vipi aongeze na Sukoi SuperJet 100 na zaidi!

NOTE:Acheni kutumia Antoniv kama reference. Ongeleeni Irkut, Tupolev na Sukhoi!!
 
pumba tupu
 
Mh mmeongea na DRC ili wawaeleze majanga ya ndege za Urusi. Nimesoma comments za watu wanadhani uongo lakini Mrusi hakuuzii ndege mpaka iwe imezeeka.
 
Mkuu Sexer MC 21 ni nyepesi kuliko Airbus & Boeing,gharama za kuiendesha ni 20% chini zaidi ukilinganisha na Boeing / Airbus pia inatumia mafuta kidogo zaidi ya 15% ukilinganisha na Airbus.
Hizi data umezitoa wapi tafadhali?
 
Hakuna ndege ambazo zimeua wengi kama Airbus mf air france kutoka brasil - ufaransa

Ni kweli, alafu wanakuwaga wasiri sana kuzungumzia chanzo cha ajali, wanapiga bla bla tu wakati mwingine kusingizia marubani, over the years incident za ndege aina ya Airbus kuanguka ghafla ziko more pronounced kuliko ndege za Boeing, tatizo kubwa la ndege hizo linatokana na systems zake karibu zote za kuongozea are too automatic, waliwahi kuonywa kuhusu suala hilo sasa sijui kama walilifanyia kazi au la.

Mpaka kufikia Octobet 2015 ndege za familia ya Airbus 320 zimekuwa involved kwenye ajali zaidi ya mia moja na kuua karibu abaria 1500, habari hizi awazisemi semi, wakibanwa sana wanasingizia marubani, mfano: Ndege ya Ujerumani walisingizia rubani msaidizi eti alibamiza ndege kwenye makorongo baada ya kurukwa akili, baadae ikaja gundurika kwamba wiki moja kabla kuna ndege ya Spain Airbus 320A ilishuka ghafla kutoka futi thelathini elfu mpaka elfu tano baada ya kukumbwa na technical problem.

Binafsi sipendi pendi kusafiri na ndege za Airbus kutokana na ajali ambazo wahusika hawayatolei maelezo ya kuridhisha - wanacho jali ni kulinda soko la ndege zao.
 
Mh mmeongea na DRC ili wawaeleze majanga ya ndege za Urusi. Nimesoma comments za
watu wanadhani uongo lakini Mrusi hakuuzii ndege mpaka iwe imezeeka.

Comment zako zinanikumbusha kauli za Balozi wa Uchina nchini Tanzania, aliwahi kusema amechoshwa na watu kulalamika ovyo eti Wachina wanawauzia bidhaa feiki, akasema matatizo ni wafanya biashara wa Tanzania wanao kwenda Uchina kununua substandard goods kimaksudi, hawataki kununua bidhaa zenye viwango vya Kimataifa wako interested na bidhaa feiki ili wa maximised faida - waswahili wanajali faida alafu wanawasingizia Wachina.

Sasa tuje kwenye comment za Wacongoman, wenyewe wanakwenda kununua ndege ambazo airworthness ni highly questionable i.e za zamani sana hazikufanyiwa maintainance ya kutosha, kwa kuwa zinauzwa kwa bei ndogo wafanya biashara wa Congo wanazibec hivyo hivyo bila ya kujali hatari ya kutumia vyombo vya anga vilivyo pitwa na wakati. Sasa kwenye mizingara kama hayo unawezaje kuiluhumu Urusi, ukichunguza kiundani ndege hizo zinanunuliwa kutoka kwenye nchi ambazo zilikuwa chini utawala wa USSR specifically Ukraine, Uzhubek nk hazinunuliwi kutoka Russia Federation.
 
Nashukuru kwa maelezo nadhani labda wachangiaji wengine watasoma na kuelewa kwanini nchi nyingi maskini kama zetu huwa tunaend-up kupata ajali nyingi sababu ya kununua cheap things. Nalijua hili ila nilitaka mtu mwingine achangie ili ionekane ukweli tutoe siasa siasa kwenye mambo ya uhai wa watu. Big up mkuu.
 
Back
Top Bottom