Air Tanzania signs MOU with Russia's Irkut over MC-21

Air Tanzania signs MOU with Russia's Irkut over MC-21

Mwisho wa mwaka tena?? Si walituambia ndani ya miezi miwili ndege mbili kutoka Canada zitakuwa nimeshatua hapa??

Hii serikali nilikuwa naiamini kumbe nayo ovyo tu
 
wenzetu wa wanapurchase maboeing na maairbus sie tunakomaa na vindege ambavyo havieleweki afu tuingie kwenye ushindani nao! ofcoz sie watu wa vibovu mv daressalaam, mabehewa ya treni,nk

Mkuu Sexer ni vizuri kabla ya kuponda jambo / kitu ukatumia muda kufanya utafiti kiduchu.MC 21 ni toleo jipya la ndege za kirusi.Ukitembelea mitandao inayojihusisha na sekta ya anga hii ndege imesifiwa sana kiasi wataalam wanasema itatoa ushindani mkubwa sana kwa Boeing na Airbus hasa upande wa bei na matengenezo.Kuna baadhi ya watanzania wana kasumba ya USA na Ulaya kwa maana ya UK ,Germany,France ......Ukiwaleta Russia wanaponda lakini wanashindwa kujua Ulaya yote inamwogopa sana Mrusi sasa kama anaogopwa ni kwanini hujiulizi sababu za kuogopwa.Boeing zimeanguka sana ikiwa utakuwa unakimbilia kutazama CNN au BBC usitegemee wataiponda lakini habari mbaya za Russia wanazikuza sana.
 
umeanza vizuri ukamaliza vibaya sana, kama hupendi kutaza cnn kwa kuhisi labda inatangaza vibaya russia huku unapenda kuangalia RT ukiamini inatangaza mazuri dhidi ya US utakuwa na matatizo.
 
Mafundi wake watawalata wapi au ndio hadi waende Urusi?
 
umeanza vizuri ukamaliza vibaya sana, kama hupendi kutaza cnn kwa kuhisi labda inatangaza vibaya russia huku unapenda kuangalia RT ukiamini inatangaza mazuri dhidi ya US utakuwa na matatizo.

Mkuu Sexer MC 21 ni nyepesi kuliko Airbus & Boeing,gharama za kuiendesha ni 20% chini zaidi ukilinganisha na Boeing / Airbus pia inatumia mafuta kidogo zaidi ya 15% ukilinganisha na Airbus.
 
Mkuu Sexer MC 21 ni nyepesi kuliko Airbus & Boeing,gharama za kuiendesha ni 20% chini zaidi ukilinganisha na Boeing / Airbus pia inatumia mafuta kidogo zaidi ya 15% ukilinganisha na Airbus.

cheap is expensive, hiyo ndege kwa kufananisha na simu itabaki kama tecno, itel, huawei dhidi ya samsung, iphone. kwenye bus itakuwa kama yutong dhidi ya scania, huo ni
mfano
 
Kaka hii ndege sio ya mrusi, ni ndege ya m Ukraine. Ni ya mizigo tu.. Ndio ndege kubwa kuliko zote dunia i so far... Naifuatilia sana kila inapoenda.. Just very interesting.. Nimeshawahi kuiona live KIEV.. Ningeweka picha hapa ila picha ina sura yangu.

Kuwa mkweli, kiwanda cha Antonov kipo Ukraine lakini walishirikiana kui-design kwa masuala ya space exploration kutokana na ushindani baina ya USSR na USA ndege hiyo ilitumika mahususi kubebea space shuttle za Urusi kwebda kwenye majaribio, baada ya project ya space shuttle kusitishwa ndege hiyo ilitumiwa kubeba mizigo mizito, wanajeshi na zana za kivita kabla USSR haija sambaratika - repeat it was a joint project baina ya wanasayansi na ma engineer wa Ukraine na Russian Federation for transporting space shuttle space exploration - Russian Federation playing a pivotal role.
 
wale wa congo maintenance ya ndege zao nadhani ndo kinachowasumbua pia mindege yao pia mingi ya zamani sana

Well said mkuu, poor maintenance ndilo lilikuwa tatizo na ndege nyingi zilikuwa za zamani sana. Hapa watu wanakuja na stori za kufikirika tu na kuponda ponda everything Russian - hilo ndilo tatizo la colonial hangover, nampongeza sana Prof. Mbarawa kwa kuona mbali, bei ya kununua turboprop planes mbili aina ya Dash unanunua ndege 4+ za kisasa/roomy kutoka Urusi, once again well done Prof.
 
bado ndege mbili hazitoshi! Wajitahidi angalau AIR TANZANIA iweze kufika mikoa yote ya Tanzania kabla hatujafikiria kwenda nje ya nchi
 
Ndege za kirusi kusema ukweli zina historia ya kudondoka hovyo mfano, hizi zinazoitwa ANTONOV" haipiti miezi miwili lazima utasikia imeanguka tens Mara nyingi wakati Wa kupaa au inapokuwa inatuwa.
 
cheap is expensive, hiyo ndege kwa kufananisha na simu itabaki kama tecno, itel, huawei dhidi ya samsung, iphone. kwenye bus itakuwa kama yutong dhidi ya scania, huo ni
mfano
mi uwa nachek san kuhusu nyie wapenz wa usa,yani mnaonyesh mahaba kupitiliz.juzi mlikuja na mada kuwa marekani alinunua ndege za urusi ili akope technology,leo mnasema kuw ndeg za urusi ni saw na simu ya kichina.kwa iyo marekani alikopi mchina
 
Ndege za kirusi kusema ukweli zina historia ya kudondoka hovyo mfano, hizi zinazoitwa ANTONOV" haipiti miezi miwili lazima utasikia imeanguka tens Mara nyingi wakati Wa kupaa au inapokuwa inatuwa.
ndo yale yale tunayoyasem,iyo antonov sas ivi imebaki historia maan ipo ukraine watalaamu wote walirudi urusi kw iyo antonov haipo tena kweny ushindan sasa izo ndeg zinazodondok ni za mwak gan
 
1464269992515.jpg

IL-96.warusi ni noma san yani hii kitu sio mchezo
 
Kama ni kweli basi nawashangaa sana serikali pamoja na hao ATCL.Hii ndege wala haijafanyiwa certifications mbalimbali na hakuna hata moja iliyokuwa tayari kwa majaribio .una uhakika gani ita meet hizo specifications zetu ? katika category ya ndege za abiria 120 mpaka 200 hakuna ndege bora kama Boeing 737-800/900 na Airbus A320/321.Yaani wangesema labda wanaagiza Bombadier CS300 ambayo ni category hiyo na ni ndege mpya kutoka na bei nafuu kwani imepasi certification tests zote.Kwenye Aviation tusidanganyane Wazungu wa magharibi wako vizuri.Russia wana ndege moja ya maana Superjet 100 na wameshindwa kui market sabau ya vikwazo vya kimataifa.Aeroflot kwenywe kumejaa Maboeing.Waanze kuzitumia wao kwanza
 
Back
Top Bottom