BARD AI JF-Expert Member Joined Jul 24, 2018 Posts 3,591 Reaction score 8,826 Apr 4, 2024 #1 Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL) imekanusha taarifa inayodaiwa kusamba na Mtanzania aitwaye Issa Azam aliyedai kuna raia wa Tanzania ambao walikuwa Abiria waliotelekezwa na Ndege hizo katika jiji la Guangzhou
Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL) imekanusha taarifa inayodaiwa kusamba na Mtanzania aitwaye Issa Azam aliyedai kuna raia wa Tanzania ambao walikuwa Abiria waliotelekezwa na Ndege hizo katika jiji la Guangzhou
K KUTATABHETAKULE JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 5,159 Reaction score 5,070 Apr 4, 2024 #2 Weka video iliyoambatishwa ili tutiririke.
Sultan MackJoe Khalifa JF-Expert Member Joined Nov 24, 2022 Posts 6,782 Reaction score 14,148 Apr 4, 2024 #3 kwa jinsi hili shirika lilivyo hilo tukio inawezekana kabisa limetokea.
MUBENDE JF-Expert Member Joined Nov 11, 2022 Posts 1,111 Reaction score 1,879 Apr 4, 2024 #4 Hata kama ilimwacha kweli kunamahala unaweza washitaki hilo shirika ukasikilizwa kweli?
Mzingo JF-Expert Member Joined Nov 2, 2014 Posts 4,729 Reaction score 10,500 Apr 4, 2024 #5 Isa Azam ni yule chawa wa Diamond?