Air Tanzania yaongoza Afrika, yazitupa kwa mbali KQ, ET na SAA

MY TAKE: Huo ni mwanzo tu, hii ni Tanzania, R.I.P JPM

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

Bila shaka kura zimepigwa na watanzania wenyewe maana "Consumer Choice Awards Africa (CCAA) originated from Tanzania Consumer Choice Awards (TCCA) which was founded in 2019"
Air Tanzania kwa sasa haiwezi kuifunika shirika.la ndege ethiopia. Hata safari za ndani wana tabia ya kucancel safari halafu ukiwapigia hawajali
 
Mkuu, anzisha awards zako na wewe tuone, wacha kubisha Mambo yanayofanywa kitaalamu.

Tanzania huwa inajing'ata na kujipulizia yenyewe, kumbuka kwanza utapeli wa Big Results Now
 
Awards za kitz, imeshinda kampuni ya ndege ya tz. Hizi awards sio international za humu humu tu hata hivyo vipengele vingine walivyotoa awards kwa makampuni ya nje, haina tofauti na kilimanjaro music awards walivyompa 50 cents award hata habari hakuwa nayo
 
Mcheza kwao hutunzwa, hizo tuzo ni za mchongo, ni kama kujitekenya na kucheka mwenyewe 🐒
 
Tanzania huwa inajing'ata na kujipulizia yenyewe, kumbuka kwanza utapeli wa Big Results Now
Wacha mawazo ya inferiority complex, kwahiyo Tanzania inapotangazwa kuwa imeshinda katika maeneo mbalimbali Kama vile vivutio vya utalii, BRT, amani, kueneza kwa Kasi kwa umeme vijijini na Mambo mengineyo, pia kwako unadhani haipaswi?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Awards za kitz, imeshinda kampuni ya ndege ya tz. Hizi awards sio international za humu humu tu hata hivyo vipengele vingine walivyotoa awards kwa makampuni ya nje, haina tofauti na kilimanjaro music awards walivyompa 50 cents award hata habari hakuwa nayo
Hakuna tofauti na lile genge la kamari, wanakuambia weka na wewe si unaona mwenzako amepata...!
 
Awards za kitz, imeshinda kampuni ya ndege ya tz. Hizi awards sio international za humu humu tu hata hivyo vipengele vingine walivyotoa awards kwa makampuni ya nje, haina tofauti na kilimanjaro music awards walivyompa 50 cents award hata habari hakuwa nayo
Mkuu unazungumza toka pori gani?, very uncivilized way of thinking. Ili award iwe international inapaswa iwe vipi?, au Tanzania inapoandaa awards watu nchi zingine haziashiriki kupiga kura?, mara ngapi Tanzania imekua ikishinda awards mbalimbali zinazoandaliwa na makampuni ya kimataifa? Kwahiyo wewe unadhani Tanzania hatuwezi na Wala hatupaswi kuandaa hizi hawards?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu unazungumza toka pori gani?, very uncivilized way of thinking. Ili award iwe international inapaswa iwe vipi?, au Tanzania inapoandaa awards watu nchi zingine haziashiriki kupiga kura?, mara ngapi Tanzania imekua ikishinda awards mbalimbali zinazoandaliwa na makampuni ya kimataifa? Kwahiyo wewe unadhani Tanzania hatuwezi na Wala hatupaswi kuandaa hizi hawards?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hakuna cha uncivilized hapa, hizi tuzo hazina tofauti na tuzo za hbaba alizoziandaa akajipa mwenyewe.
Acha ushabiki mandazi. ATCL bado sana na haijashinda tuzo yoyote ya kimataifa. Hizi tuzo za ndani ndani tu humu tunapeana peana.
Tunaweza kuandaa awards lakini sio za kimataifa na ndio maana kampuni zilizoshinda ni za ndani. Tigo imeshinda kwenye kipengele cha kampuni za mawasiliano zinazopendwa.
So, usije hapa zifanya zionekane ni tuzo za kimataifa
 
Wivuuuuu[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hakuna wivu hapo ila ni fact washindi ni
CRDB imechukua tuzo
DCB imechukua tuzo
Tigo imechukua tuzo
ATCL imechukua tuzo
Millard Ayo,
Maji ya afya
So usipotoshe watu unaona washindi wote ni local, hivyo usifanye kama vile hizi tuzo walikuwa wanasshindanisha mashirika yote ya ndege yanayo operate afrika au duniani ATCL ikashinda.
Huo ni upotoshaji
 
Awards za kitz, imeshinda kampuni ya ndege ya tz. Hizi awards sio international za humu humu tu hata hivyo vipengele vingine walivyotoa awards kwa makampuni ya nje, haina tofauti na kilimanjaro music awards walivyompa 50 cents award hata habari hakuwa nayo
Hvi 50cent kapewa award na Kilimanjaro awards[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom