Air Tanzania yaongoza Afrika, yazitupa kwa mbali KQ, ET na SAA

Air Tanzania yaongoza Afrika, yazitupa kwa mbali KQ, ET na SAA

Hvi 50cent kapewa award na Kilimanjaro awards[emoji1787][emoji1787]
Eeh kipindi kile ndo katoka na migomba ya in da club ana hit balaa, kilimanjaro music awards walikpa zawadi ya lichuma eti akalipokea mwakilishi wake sijui alikuwa afisa ubarozi wa marekani na bahasha sijui ilikuwa na nini.
Yule barozi alikuwa mzee fulani mmarekanj ana swag kama za Zahir Zorro hadi nywele
 
Hakuna cha uncivilized hapa, hizi tuzo hazina tofauti na tuzo za hbaba alizoziandaa akajipa mwenyewe.
Acha ushabiki mandazi. ATCL bado sana na haijashinda tuzo yoyote ya kimataifa. Hizi tuzo za ndani ndani tu humu tunapeana peana.
Tunaweza kuandaa awards lakini sio za kimataifa na ndio maana kampuni zilizoshinda ni za ndani. Tigo imeshinda kwenye kipengele cha kampuni za mawasiliano zinazopendwa.
So, usije hapa zifanya zionekane ni tuzo za kimataifa
Wewe ni miongoni mwa watu pori, tuzo zipi ni tuzo za kimataifa, nani mwenye haki miliki ya kuandaa tuzo za kimataifa?, bado upo na matongotongo ya porini, unahitaji sala na maombi, sitoshangaa ukisema bado watanzania hatupaswi kujitawala kwasababu kura tunapeana wenyewe kwa wenyewe, Bure kabisa wewe.

Nigeria wakiandaa awards wakashinda Dovido na Burna Boy, hizo unadhani ni sahihi, ila Tanzania wakiandaa awards na Diamond au Air Tanzania ikishinda kwako haikubaliki, Rudi porini ulikotoka.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hvi 50cent kapewa award na Kilimanjaro awards[emoji1787][emoji1787]
Uliza Kule Nigeria ambako Nigerians musicians huongoza kupata awards, mbona 50cent hajawahi kupata awards?.

Hivi Burna Boy, Diamond Platnumz na wanamuziki wengine wakubwa, walishawahi kuwazidi wanamuziki wa US katika awards zinazoandaliwa USA, tumia akili

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni miongoni mwa watu pori, bado upo na matongotongo ya porini, unahitaji sala na maombi, sitoshangaa ukisema bado watanzania hatupaswi kujitawala kwasababu kura tunapeana wenyewe kwa wenyewe, Bure kabisa wewe.

Nigeria wakiandaa awards wakashinda Dovido na Buena Boy, hizo unadhani ni sahihi, ila Tanzania wakiandaa awards na Diamond au Air Tanzania ikishinda kwako haikubaliki, Rudi porini ulikotoka

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kubali tu huna haja ya kubisha tuzo ni local ndio maana washindi ni millard ayo, afya, afya water, atcl , crdb, dcb local local tu
 
Uliza Kule Nigeria ambako Nigerians musicians huongoza kupata awards, mbona 50cent hajawahi kupata awards?.

Hivi Burna Boy, Diamond Platnumz na wanamuziki wengine wakubwa, walishawahi kuwazidi wanamuziki wa US katika awards zinazoandaliwa USA, tumia akili

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Umerudi pale pale mzee, award ni za bongo
 
Eeh kipindi kile ndo katoka na migomba ya in da club ana hit balaa, kilimanjaro music awards walikpa zawadi ya lichuma eti akalipokea mwakilishi wake sijui alikuwa afisa ubarozi wa marekani na bahasha sijui ilikuwa na nini.
Yule barozi alikuwa mzee fulani mmarekanj ana swag kama za Zahir Zorro hadi nywele
Hahaa...noma sana
 
Tuzo ni local, alafu kwenye heading unailinganisha na KQ, SAA, Ethiopian Arline? wao pia walishirikishwa? Kama jibu ni hapana, basi huu uzi ni batili. Na ninajua hawakushiriki.
Ficha aibu watu watakucheka, wewe unadhani hizo tuzo zote duniani huwa watu wanashirikishwaje zaidi ya kutangazwa katika media na networks mbalimbali ili wadau washiriki kupiga kura?.

Wanashirikishwa Moja kwa Moja ni makampuni yenye kujihusisha na usafirishaji wa anga na baadhi ya watu ambao husafiri mara kwa mara, Sasa ulitegemea watu ambao hata siku Moja hajawahi kusafiri kwa ndege pia ashirikishwe?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Ficha aibu watu watakucheka, wewe unadhani hizo tuzo zote duniani huwa watu wanashirikishwaje zaidi ya kutangazwa katika media na networks mbalimbali ili wadau washiriki kupiga kura?.

Wanashirikishwa Moja kwa Moja ni makampuni yenye kujihusisha na usafirishaji wa anga na baadhi ya watu ambao husafiri mara kwa mara, Sasa ulitegemea watu ambao hata siku Moja hajawahi kusafiri kwa ndege pia ashirikishwe?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hujanijibu swali langu mkuu, ulichokiandika nakielewa. Haiwezekani waliopiga kura ni wabongo tu alafu uje na bla bla hizo. Wananchi toka hizo nchi zingine walishiriki kwenye upgaji kura. Yaani hii ATCL iyazidi hayo mashirika mengine?
 
Mleta mada jitahid uuage utoto ,huku ni great thinkers.
Unakera kichizi.
 
Hujanijibu swali langu mkuu, ulichokiandika nakielewa. Haiwezekani waliopiga kura ni wabongo tu alafu uje na bla bla hizo. Wananchi toka hizo nchi zingine walishiriki kwenye upgaji kura. Yaani hii ATCL iyazidi hayo mashirika mengine?
Kwanza ulijuaje kwamba waliopiga kura ni wabongo pekee?, Mbona tuzo za USA ambako washindi wengi hutoka USA au tuzo za South Africa na Nigeria ambako washindi wengi hutoka nchi hizo huzirilii mashaka?.

Mashindano yakishatangazwa na kuwekwa katika media mbalimbali, watu wote(wabia husika) bila kujali anatokea wapi wapo huru, kura zikihesabiwa haijalishi nchi gani inatoka, Sasa Kama watu wengine wameamua kwa hiari Yao kutokupiga kura unataka waandaaji wafanyeje?.

Mkuu ATCL wanajitahidi Sana. Jaribu kumshindanisha Ally Kiba na Chris Brown na wapiga kura wawe ni watanzania tu, uone Kama Ally Kiba atashinda, hakuna cha uzalendo, kitu kizuri kinajiuza Chenyewe. Nenda Kenya ushindashe wanamuziki wa Tanzania na wakenya, uone Kama Kuna mkenya atakayetoboa.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom